Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku nilipo huwa wanatumia Dawa inaitwa Clozapine.
Clozapine hu stabilise mood na kupunguza kuona madubwasha.
Clozapine ina side effects nyingi kwa huyo mgonjwa hutakiwa kuchekiwa damu kila baada ya wiki 4. Ili kuangalia Level za dyscrasias.
Nilifanya kazi kwenye ward zaidi ya 3 years, sikuwai kuona mgonjwa katolewa kwenye hiyo dawa, ila tulikuwa tunawafanya wa na ji self medicate wakiruhusiwa kurudi nyumbani, Na kumonitor damu zao every 4 weeks.
Kuna dawa special za usingizi na ili kufanya tatizo lisijirudie ni lazima mhusika apunguze mawazo (thoughts per minute) na awe anawahi kulala mapema kila siku na hii iwe ni tabia yake ya kawaidaHabari wana jamii forum, kwa experience yangu kuna dawa nyingi zinazotibu schizophrenia, ila ukiacha kunywa hizo dawa tatizo linajirudia. je kuna dawa inayotibu hili tatizo moja kwa moja? kama ipo inaitwaje?
Huku nilipo huwa wanatumia Dawa inaitwa Clozapine.
Clozapine hu stabilise mood na kupunguza kuona madubwasha.
Clozapine ina side effects nyingi kwa huyo mgonjwa hutakiwa kuchekiwa damu kila baada ya wiki 4. Ili kuangalia Level za dyscrasias.
Nilifanya kazi kwenye ward zaidi ya 3 years, sikuwai kuona mgonjwa katolewa kwenye hiyo dawa, ila tulikuwa tunawafanya wa na ji self medicate wakiruhusiwa kurudi nyumbani, Na kumonitor damu zao every 4 weeks.
Nimeona kila kona unanitajataja ndugu, hayo mahaba kwangu yamefika hatua hii?Huu ugonjwa anao pia Yericko Nyerere alizaliwa Nao Halima Mdee alienda juzi S.Africa sijui kama alipata tiba