'Wanasaikolojia' uchwara wazidi kuongezeka redioni/mitandaoni

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Kila mtu sasa hivi ni mwanasaikolojia anaelezea mapenzi na afya ya akili. Ukimuangalia huyo mwanasaikolojia unabaki kushangaa huyu mbona yeye tayari ana stress.

Baadhi ya 'wanasaikolojia' wa mchongo.

1. Lilian Mwashambwa,
2. Mc pilipili,
3. Shishi,
4. Bhoke EATV,
5. Diva thebawse,
6. Mauk,
7. Dani Marandu,
8. Niffer,
 
Hawa sio wanasaikolojia lakini bali ni watu wenye stress zao walizopata nafasi ya kuzishikia supika
 
Sasa hivi mtu akishakua maarufu tu au ana followers wengi basi anajiona ashakua mwalimu wa maisha
 
wakati mwingine ukiwaangalia kimakini na wenyewe ni kama wagonjwa wa kisaikolojia
 
Kama yule shekhe wa Diva ati ni mshauri wa mahusiano na huku ya kwake yamemshinda... [emoji854][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Geofrey mwamnyanyi anaelimu ya psychology lakini yupo busy na uchambuzi wa michezo. Alaf unakuta mal..aya km diva anajfanya mwanasaikolojia
 
Kama yule shekhe wa Diva ati ni mshauri wa mahusiano na huku ya kwake yamemshinda... [emoji854][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Jf ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…