'Wanasaikolojia' uchwara wazidi kuongezeka redioni/mitandaoni

'Wanasaikolojia' uchwara wazidi kuongezeka redioni/mitandaoni

Sasa kama diva yeye mwenyewe anaachwa kila siku halafu eti anashauri watu mapenzi
 
Baadhi ya 'wanasaikolojia' wa mchongo.

1. Lilian Mwashambwa,
2. Mc pilipili,
3. Shishi,
4. Bhoke EATV,
5. Diva thebawse,
6. Mauk,
7. Dani Marandu,
8. Niffer,
Hii list sio ya uongo hapo kwenye bold alitoa boko moja mpaka nikashtuka, "hakuna anaejua kila kitu" wapo wanaojua kila kitu ila sio waelezaji wa kila kitu wengi wao sio waropokaji mara nyingi hupendelea kupiga bunda yaan kukaa kimya
 
Back
Top Bottom