N njalas JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 883 Reaction score 1,100 Jan 21, 2025 #21 Sasa kama diva yeye mwenyewe anaachwa kila siku halafu eti anashauri watu mapenzi
zerominus10 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 8,142 Reaction score 13,721 Jan 21, 2025 #22 blessings said: Baadhi ya 'wanasaikolojia' wa mchongo. 1. Lilian Mwashambwa, 2. Mc pilipili, 3. Shishi, 4. Bhoke EATV, 5. Diva thebawse, 6. Mauk, 7. Dani Marandu, 8. Niffer, Click to expand... Hii list sio ya uongo hapo kwenye bold alitoa boko moja mpaka nikashtuka, "hakuna anaejua kila kitu" wapo wanaojua kila kitu ila sio waelezaji wa kila kitu wengi wao sio waropokaji mara nyingi hupendelea kupiga bunda yaan kukaa kimya
blessings said: Baadhi ya 'wanasaikolojia' wa mchongo. 1. Lilian Mwashambwa, 2. Mc pilipili, 3. Shishi, 4. Bhoke EATV, 5. Diva thebawse, 6. Mauk, 7. Dani Marandu, 8. Niffer, Click to expand... Hii list sio ya uongo hapo kwenye bold alitoa boko moja mpaka nikashtuka, "hakuna anaejua kila kitu" wapo wanaojua kila kitu ila sio waelezaji wa kila kitu wengi wao sio waropokaji mara nyingi hupendelea kupiga bunda yaan kukaa kimya
zerominus10 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 8,142 Reaction score 13,721 Jan 21, 2025 #23 njalas said: Sasa kama diva yeye mwenyewe anaachwa kila siku halafu eti anashauri watu mapenzi Click to expand... Akale wapi? Mchongo kutunga story ya uongo na ukweli uwakamate watoto wa 2010's wanaokuja kwa kasi ya jet
njalas said: Sasa kama diva yeye mwenyewe anaachwa kila siku halafu eti anashauri watu mapenzi Click to expand... Akale wapi? Mchongo kutunga story ya uongo na ukweli uwakamate watoto wa 2010's wanaokuja kwa kasi ya jet
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Jan 21, 2025 Thread starter #24 zerominus10 said: Akale wapi? Mchongo kutunga story ya uongo na ukweli uwakamate watoto wa 2010's wanaokuja kwa kasi ya jet Click to expand... Elimu yake ipoje?
zerominus10 said: Akale wapi? Mchongo kutunga story ya uongo na ukweli uwakamate watoto wa 2010's wanaokuja kwa kasi ya jet Click to expand... Elimu yake ipoje?
zerominus10 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 8,142 Reaction score 13,721 Jan 21, 2025 #25 blessings said: Elimu yake ipoje? Click to expand... Chukua elimu yako jumlisha na elimu ya waliokufundisha ndio unaipata elimu yangu
blessings said: Elimu yake ipoje? Click to expand... Chukua elimu yako jumlisha na elimu ya waliokufundisha ndio unaipata elimu yangu
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jan 21, 2025 #26 kwasababu ya ujinga wa wasikilizaji