Wanasayansi wa kiafrika ndio wanaoikuza Amerika na Ulaya, kwanini wasiikuze Afrika yao?

Mbona sijamuona hapo juu Elon Musk wa Space X...!
 
huyo si unaona kazaliwa hukohuko amerca na amekulia huko huko huenda ikawa hata uraia wake ni wa amerca toka alipozaliwa hapa mimi nimeweka wale wanasayansi waliokulia africa ila baada ya hapo wakakimbia
 
his is southern african- born amercan hiyo ni statement yako uliyoitoa mwanzo na hapo inamaanisha huyo ni msouth africa lakin alizaliwa huko amerca ila saivi unatuma text nyingine unasema amezaliwa africa na baadae kaenda amerca tafuta historia yake vizuri ila mimi naamini maelezo yako ya mwanzo ndio ya kweli lakini haya ya pili yamekuja kutokana na mkanganyiko wa lugha tu kiongozi
 
Ok ntarekebisha pale mkuu,palihitajika kuwa na alama ya mkato kati ya south african born na american business magnate..
 
Ok ntarekebisha pale mkuu,palihitajika kuwa na alama ya mkato kati ya south african born na american business magnate..
sawa kiongozi huyo sikufanikiwa kumfuma ila kwenye huu uzi kuendana na mawazo au michango ya watu tuligundua kuwa
african are poor because are poor kila kitu kipo lakin wanashindwa kupambana mpaka wananyang"anywa matonge yaliyopo mdomoni mwao
 
Ukitengeneza bidhaa mpya unawekwa sero, wanasayansi wanaoeleweka na kuheshimiwa bongo ni waandaaji wa vyakula na vinywaji, mo mengi bakhresa
 
Felix A. Chami is an archaeologist from Tanzania
Mkuu archeology ni part ya social science na humanities na na kwa maana hiyo kumuweka Chami kama 'mwanasayansi' kuna ukakasi kidogo
 
Waafrika uwekezaji wetu hasa wa sisi wa kusini mwa jangwa la sahara ni siasa.
Hatuna uzalendo wa kuleta maendeleo ktk jamii kwa ujumla.
 
Rais mswahili mjuzi wa kila kitu wanasayansi wanini jamani?
 
kama hamna mhaya hii list ni fake
 
Africa isingeweza kufadhili tafiti za kisayansi kwa maana ni gharama sana na ndio maana wapo nje ya africa kwa wenye shekeli
 
Waafrika uwekezaji wetu hasa wa sisi wa kusini mwa jangwa la sahara ni siasa.
Hatuna uzalendo wa kuleta maendeleo ktk jamii kwa ujumla.
iyo kweli mkuu mahendeleo yetu yako chini saana some time mimi uwaga nafikiria labda tumerogwa ndo maana tuna kuwaga ivi
 
Mbona sijamuona hapo juu Elon Musk wa Space X...!
Kwanza uyu jamaa nIlisikia fununu eti alikuwa na ishi africa mimi uwaga na jihuliza kwanini watu wa south africa wali muacha ahende kusaidia eti nyingine na wakati ame kulia inchi umo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…