Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama unatafuta pesa kwenye taifa lenye kipato kidogo badala ya kuliendeleza lli liwe na kipato kikubwa nawe upate pesa badala yake unakimbia sasa hapo utakuwa huna uzalendo hata kidogo na taifa lakoLengo la kusoma ili upate hela. Kusolve matatizo ni issue ya ziada. Ingekuwa kusoma ili u-solve matatizo watu wangefanya kazi kwa kujitolea. Masilahi kwanza mambo mengine ndiyo yanafuata
Tatizo si wao bali tatizo ni serikal nyingi za afrika zinatabia ya kuto kudhamini wavumbuz wa ndani. Ni wavumbuv kibao wamefanya makubwa, tatizo ni kwamba serikal zinaposikia flan kafanya kitu flani badala ya kumsupport wanaanza kuwawekea vikwazo vya kisheria, na kiuchumi.kwani wangebaki kwenye nchi zao wakayafanya hayo waliyoenda kufanya kwenye mataifa makubwa si ipo siku kazi za mikono yao zingewalipa au tuseme wana tamaa ya pesa?
Binafsi hii sera haitofika mbali, je unaposema viwanda umeandaa mazingira gani ili kusaidia viwanda?.je tanzania ya sasa imekuja kwa sera ya viwanda itafanikiwa? je ni kwanini? na kama haitafanikiwa pia ni kwanini?
unafikir serikali kuna inapokosea mpaka sasa kumekuwa na minong'ono mpaka watu wamekuwa na haka kamsemo "TANZANIA YA VIBANDA" badala ya "TANZANIA YA VIWANDA" Je watu ndio wanakosea kufanya hivyo au serikali ndio inakosea na ikapelekea watu kuleta huo msemo na suluhisho lake ni lipi?
fact dawa ndio tatizo ndio inasakwa hapaumezungumzia wanasayansi ila hujazungumzia kada nyingine wao wakiona mwafrika kama ana kipaji hata cha michezo wanampa uraia kuna kipindi afrika kusini walikuwa wanalalamika kuhusu wao ksomesha manesi lakini wakimaliza wanaenda kufanya kazi ulaya na marekani ambapo wanalipwa pesa nzuri ila nawashangaa sana viongozi wa afrika wanapokutana na viomgozi wa ulaya kujadiliana juu ya wahamiaji haramu wakati tatizo la wahamiaji haramu limesabababishwa na wao wenyewe kwa wamechukua kuanzia rasilimali watu mpaka rasilimali fedha ambazo ni fedha zinazoibwa huku afrika ili kuendeleza nchi zao.Wao wanataka vitu vizuri kutoka afrika lakini vibaya hawavitaki wanasahau kuwa kama wangeacha vitu vizuri huku wimbi la kukimbilia ulaya lingepungua
Kwann warud wakati kule walipo wako supported kwa kila kitu?fact angalau wangerudi hata kufundisha kwenye baadhi ya vyuo vyetu afrika au wangeunda baraza la wanasayansi la africa wajadili watafanya nini watajikwamua vipi kama wanasayansi wenzao wa ulaya na amerca kwa sababu dawa ya tatizo sio kulikimbia tatitizo bali ni kulipatia solution kwa maana hiyo kama nchi za africa zimewwagharamikia kuwasomesha lakini baadae wasirudi nchini kwao kusaidia sasa hapo kutakuwa na faida gani ya kusoma?
Watanzania tatizo tunaamini elimu ni kwenye karatasi tu,ndio maana mtu akiwa na kipaji wanampuuzia.Kwann warud wakati kule walipo wako supported kwa kila kitu?
wazungu wanapotuahinda ndio hapo, kipaji kinapo ibuka wana kitetea, wana support. Waafrika kipaji kikiibuka wanakigandamiza.
unafikiri kuna aliyegundua kitu ambacho hakijagunduliwa hapa duniani? na kama amemodify kitu ambacho kilishagunduliwa yupo ambaye alivumbua kitu chenye ubora kuliko kilichotangulia kuvumbuliwa na wenzetu?Tatizo si wao bali tatizo ni serikal nyingi za afrika zinatabia ya kuto kudhamini wavumbuz wa ndani. Ni wavumbuv kibao wamefanya makubwa, tatizo ni kwamba serikal zinaposikia flan kafanya kitu flani badala ya kumsupport wanaanza kuwawekea vikwazo vya kisheria, na kiuchumi.
Kukwepa hali hiyo lazima waende nchi ambazo zina support vipaji vyao. Na ndio huko nyota zao zilipo ng'ara.
fact nikweli naona hii serikali inakurupuka haina mpango madhubuti kipi inafanya kwa wakati badala yake inataka kufanya kila kitu kwa pamoja bila kuangalia kipato kilichopoBinafsi hii sera haitofika mbali, je unaposema viwanda umeandaa mazingira gani ili kusaidia viwanda?.
Sasa wenye pesa wenyewe hawajitokezi hadharani(mo,bakhresa) kujenga viwanda hii ni kutokana biashara zao zumelega lega.
Binsfsi hii Sera imekaa kisiasa kuwapumbaza wasiofikiria.
Zungumzia viwanda ,kungekuwa na taasisi moja ambapo hata ukienda Leo unapata leseni kesho unaanzisha viwanda,watoe kodi na milolongo kibao ambayo inakatisha tamaa kwa wazawa(sheria za kikoloni kabisa)
Mo na bhakhresa wamejulikana sana kipindi cha kikwete,je ni kwa nini?
Za za kina newton na einstein to taofauti sana na zama sasa. Hao unaowasema wangeish kipindi hiki wangepata shida.kwani tunasoma ili tupate pesa au tunasoma ili tusolve matatizo yetu hivi wakina newton na eistein wangekuwa wanafanya kazi ili walipwe hivi kuna nchi ingeweza kuwalipa
Nikwambie tu kuwa satelaiti ya kenya imetengenezwa japan hawakuunda wao, na magari yanaundwa na kampun za nje ndani ya ardhi ya kenya.so bado japo kuwa kenya wanapiga hatua kwa kasi kuliko sisiSijamuona mtoto wa kighoma malima hapo,maana nae ni mwanasayansi mvumbuzi kule USA.
Hapa kama serikali haitengi fedha za R&D wataalamu lazima walale mbele tu.
Nchi zingine kwenye vyuo vikuu ndo vitu hugunduliwa na kutengezwa,
kenya wao wameanza kujitambua na wanatenga pesa za Research and development ndo maana sasa wanavyuo wanaunda satelaiti,gari etc.
Sisi tuko busy kucontain post za facebook
Sera mkuu sera ni mbovu,sayansi haitaki siasa na ujuaji wa mtu mmoja anayetaka kila kitu asikilizwe yeye.sawa hii ni sababu wew unafikiri tutabadili vipi mtazamo wa serikali zetu za africa hasa africa mashariki?
Swali ni kwamba wangebaki nchi zao zinge support idea zao? Shida ni kwamba viongozi wengi afrika ukiwaletea idea kama hizo wanaangalia kwanza wata tajirikaje. Kama haiwanufaishi wakuu basi hatoi support kwa lolote. Sasa kwann mtu asiende nje?hilo sasa ni tatizo wangelisolve kwenye nchi zao walizozaliwa na sio kukimbia
sasa hapa tulipo sasa kwa tanzania ni kama kipindi hicho cha hao wakina newton na Einstein hapa bila kupata watu wa kujitolea sera ya viwanda itabaki kunenwa kwenye midomo ya watu lakini hakutakuwa na matendoZa za kina newton na einstein to taofauti sana na zama sasa. Hao unaowasema wangeish kipindi hiki wangepata shida.
Kwasasa ukweli ni kuwa dunia imeiganya pesa kuwa kipao mbele cha kwanza. Sad but huo ndio ukweli, ndio mfumo uliopo...
Ndugu zama zimachange. Hatuko zama hizo, sasa hiv serikal inafikiria zaidi kuinua uchumi, inafikiria pesa zaidi kuliko uvumbuvi. Kuna vijana hapo miaka kama mitatu nyuma na kuendelea, walivumbua vitu flani lakin serikal ikawafukia chini. Mmoja alichukuliwa akapelekwa south africa na kampun ya kutengeneza ndege. Wengine story zao hazijulikani.sasa hapa tulipo sasa kwa tanzania ni kama kipindi hicho cha hao wakina newton na Einstein hapa bila kupata watu wa kujitolea sera ya viwanda itabaki kunenwa kwenye midomo ya watu lakini hakutakuwa na matendo
wengi hapo huwa ni kwamba walienda kusoma kwenye mataifa makubwa na kuzamia huko moja kwa moja sidhani kama walijaribu kurudi nchini hata kwenda wizara ya sanyansi nchini mwao na kuieleza kwamba wana mipango fulani na nchi yao na kusikiliza majibu yatatoka yapiSwali ni kwamba wangebaki nchi zao zinge support idea zao? Shida ni kwamba viongozi wengi afrika ukiwaletea idea kama hizo wanaangalia kwanza wata tajirikaje. Kama haiwanufaishi wakuu basi hatoi support kwa lolote. Sasa kwann mtu asiende nje?
enzi nadhani economic status yetu ya sasa ipo sawa na ya amerca zama hizo za hao wakina newton huo uchumi tunaotaka kuunyanyua ni upi na unanyanyuka?Ndugu zama zimachange. Hatuko zama hizo, sasa hiv serikal inafikiria zaidi kuinua uchumi, inafikiria pesa zaidi kuliko uvumbuvi. Kuna vijana hapo miaka kama mitatu nyuma na kuendelea, walivumbua vitu flani lakin serikal ikawafukia chini. Mmoja alichukuliwa akapelekwa south africa na kampun ya kutengeneza ndege. Wengine story zao hazijulikani.
tatizo hatuna uongozi unaodhamin vumbuzi, ungozi uliopo ni wa kimaslahi zaidi.
Nope .tatizo ni serikal haipo supportive. Shida iko kwenye uongozienzi nadhani economic status yetu ya sasa ipo sawa na ya amerca zama hizo za hao wakina newton huo uchumi tunaotaka kuunyanyua ni upi na unanyanyuka?
je uchumi unanyanyuliwa na siasa au?
Nikizungumzia policy sijazungumza kitu kimoja sera ni kwa upana zaidi ila nimesema sera,sera zetu hazina favor kwa scientists kama hao.kahiyo hapo wakirekebisha issue zitaenda pouw🙂🙂🙂