sasa huyu pimbi mlevi ametokea wapi na ujinga wake?? Hivi unajua Roma imejengwa kwenye msingi wa uongo na unyonyaji? Pimbi wewe!Ukitaka kujua tupo nyakati gani na tunaelekea wapi, tafuta unabii wa tatu na wa mwisho wa Bikira Maria wa Fatma alipowatokea Lucia, Francis na Yasinta, mwaka ule wa 1917. Kati ya mambo makubwa aliyowaambia ni kuwa maafa mengi yatatokea kuanzia mwaka 2020, na yatapata nguvu zaidi kuanzia mwaka 2025, na magumu zaidi yatatokea kipindi cha nusu ya pili ya karne ya 21
waislamu ni waongo! Ila bila kujali dini wala nini, science inaelezea kuwa the big bang bado inaendelea yaani ni kama mwanga ambao bado haujapotea, kama moto ambao haujazimika! Ila at the center of the big bang kuna nguvu fulani ambayo ndo itaua hii big bang then mambo yataanza upya tena(itatokea big bang nyingine tena!) Sijui kama umeelewa!Mnalazimisha sana Sayansi iseme kama dini zenu,
Hii ni Kama vile tu Waislamu wanavyosema Quran yao inazungumzia Big bang
nikuulize kitu mama mchungaji? Hivi israel anachokifanya ni sawa?Huwezi kusema hayo kama unapenda kwenda mbinguni mwisho wa dunia ukifika.
Nakazia tena kwa Andiko jingine hili: "Usiige lile lililo baya bali lile lililo jema. Yeyote atendaye mema anatoka kwa Mungu, bali atendaye mabaya hajamwona Mungu."(3 Yohana 1:11)
Dunia Ina umri gani?Unachosema kina nusu tu ya ukweli. Ni sawa kabisa, kila mtu ana mwisho wake binafsi (kifo), lakini kudai hakuna mwisho wa dunia kabisa ni hitimisho lisilo na ushahidi.
Katika Biblia Takatifu, Mungu ameelezea wazi mambo mawili tofauti: mwisho wa mtu binafsi na mwisho wa ulimwengu. 2 Petro 3:10 inasema: "Siku ya Bwana itakuja kama mwizi; mbingu zitapita kwa mshindo mkubwa, na vitu vyote vitateketezwa."
Hapo hazungumzii mtu mmoja kufa, anaongelea ulimwengu mzima kubadilishwa/kuondolewa.
Pia, Ufunuo wa Yohana 20:11 inasema: "Kisha, nikaona kiti cha enzi kikubwa cheupe, na yule aketiye juu yake. Dunia na mbingu vikatoweka mbele ya macho yake, na havikuonekana tena."
Hii ni lugha ya wazi kabisa ya mwisho wa mfumo mzima wa dunia, sio maisha ya mtu mmoja mmoja tu.
Hata kama wewe ni Atheist na unaikataa Biblia, ziamini basi hizo nadharia za wanasayansi kuhusu uwezekano walioutaja wa mwisho wa ulimwengu. Na kama hutaki kukubaliana na wanasayansi, kubaliana basi hata na Wazee wetu waliotangulia waliosema: "Kila chenye mwanzo kina mwisho" Dunia ilikuwa na mwanzo hivyo lazima itakuwa na mwisho. Ukiendelea kupinga, nakusikitikia kwa sababu utajuta sekunde ya kwanza tu baada ya kuondoka duniani. Na hutakuwa na nafasi tena ya kutubu na kuamini. Soma Luka 16:27–31 ujue yanayotokea mtu akifa.
Swali zuri, ingawa liko nje ya mada. Ila hujafafanua "anachokifanya Israeli" ni kipi hasa? Maana orodha ya mambo yanayofanywa na Israeli ni ndefu…nikuulize kitu mama mchungaji? Hivi israel anachokifanya ni sawa?
Nakujibu kibiblia: Dunia ina umri wa maelfu ya miaka, sio mamilioni au mabilioni kama wasiomcha Mungu wanavyodai.Dunia Ina umri gani?
Adam Aliza watoto wangapi?Nakujibu kibiblia: Dunia ina umri wa maelfu ya miaka, sio mamilioni au mabilioni kama wasiomcha Mungu wanavyodai.
Kwa kufuatilia vizazi kuanzia Adamu mpaka leo (kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Mwanzo 5 na 11), pamoja na historia ya Biblia, utaona kuwa dunia ina takriban miaka 6,000 hivi.
Kitabu cha Mwanzo kinaanza kwa kusema "Mungu aliumba mbingu na nchi" (Mwanzo 1:1), na kinaelezea historia ya mwanadamu kwa mfululizo wa vizazi. Ukijumlisha vizazi hivyo na nyakati zilizotajwa, unapata maelfu ya miaka.
Hata hivyo, lengo kuu la Biblia sio kutupa namba ya kisayansi ya umri wa dunia, bali kutuonyesha kuwa Mungu ndiye aliyeumba Dunia na vyote viijazavyo na kwamba siku ya mwisho Mungu ataiangamiza dunia hii kwa moto pamoja na wote wasiomcha Yeye (2 Pet 3:7).
Ndugu yangu, hujasoma Mithali 15:1? Biblia inasema: "Jawabu la upole hugeuza ghadhabu, bali neno liumizalo huchochea hasira."sasa huyu pimbi mlevi ametokea wapi na ujinga wake?? Hivi unajua Roma imejengwa kwenye msingi wa uongo na unyonyaji? Pimbi wewe!
Biblia haitaji idadi kamili ya watoto aliozaa Adamu.Adam Alizaa watoto wangapi?
Kuna maswali mengi hayajibikiBiblia haitaji idadi kamili ya watoto aliozaa Adamu.
Lakini inatoa mwanga kidogo: watoto wanaotajwa kwa majina ni: Kaini, Habili na Sethi.
Kisha Biblia inaongeza kwa kusema: “Siku za Adamu zilikuwa miaka 800 baada ya kumzaa Sethi, akazaa wana na binti.” (Mwanzo 5:4)
Hiyo inadhihirisha kwamba Adamu alikuwa na watoto wengi, wa kiume na wa kike, lakini haijasema idadi yao kamili. Okay?
mama mchungaji kaa pembeni, usijifanye haujui humu jf kuna baadhi ya member pimbi ambazo hazistahili kujibiwa vizuri!! Hata yesu alimwita Herode mbweha! Je alifanya dhambi? Jibu ni hapana! Na mimi nimemwita pimbi! Mnyama alieumbwa na mungu!Ndugu yangu, hujasoma Mithali 15:1? Biblia inasema: "Jawabu la upole hugeuza ghadhabu, bali neno liumizalo huchochea hasira."
Mtume Paulo anatuasa pia katika Efe 4:29 kwamba maneno mabaya yasitoke vinywani mwetu, bali yale yanayofaa kwa ajili ya kuwajenga wengine kulingana na mahitaji yao...
Matusi ni dhambi, na watukanaji hawataurithi ufalme wa Mungu. Umesikia mwisho wa dunia unakaribia, badala ya kutubu unaendelea kuikumbatia dhambi. Kulikoni?
usijifanye hujui! mi namaanisha israel anachokifanya ni kizuri? Turning hundreds of childs into orphans, homeless and permarnent disables! Iko sawa hiyo?Swali zuri, ingawa liko nje ya mada. Ila hujafafanua "anachokifanya Israeli" ni kipi hasa? Maana orodha ya mambo yanayofanywa na Israeli ni ndefu…
– maendeleo ya teknolojia
– ubunifu wa tiba na afya
– kilimo cha kisasa jangwani
– uvumbuzi wa maji (desalination)
– na hata misaada ya kibinadamu katika baadhi ya maeneo
Sasa wewe unaongelea lipi hasa?
Wait… a video reply? Now that’s special😄, I like that. Thank you! I’ve been doing well too, just handling life one day at a time.
Utabiri wa mambo hayo umeandikwa wapi?Hata mambo ya kusikitisha yanayoendelea huko Mashariki ya Kati, yalitabiriwa zamani kwamba yatatokea.