Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ช๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐ฎ๐ฏ๐ถ๐ฟ๐ถ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ฆ๐ฎ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ฌ๐ฒ๐๐ ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ผ๐ธ๐๐ถ๐ท๐ฒ๐ป๐ถ ๐ถ๐ป๐ฎ๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ถ๐ฎ ๐ธ๐๐ถ๐๐ต๐ฎ
Kuna utafiti umefanywa na chuo kikuu Cha Toho wakishirikiana na Wanasayansi toka Nasa wametabiri viwango vya Hewa ya oksijeni inayotumiwa na mwanadamu inashuka kwa kiwango kikubwa sana hivyo tunaelekea Mwisho wa Sayari ya Dunia kufikia Mwisho.
Wamesema mimea yote inayotegemea Hewa ya oksijeni itapopotea ndani ya miaka 10,000 na maisha yanayotegemea Hewa ya Oksijeni yatafikia Mwisho na kuacha Sayari ya Dunia kutawaliwa na wadudu.
Nasa imesema viwango vya Hewa ya Oksijeni vimeshuka takribani miaka bilioni 1.08 kutokana na Joto kupanda na kuwa Kali Kila siku pamoja na kushuka kwa viwango vya CO2.
Utafiti huu unazidi kuweka mpango na changamoto ya watu kuweza kutafuta maisha na uhai kwenye Sayari zingine za mbali kwani Hewa ya oksijeni na Ozoni huenda visiwe viashiria vya kuaminika vya maisha Kila wakati.
Wanasayansi wametoa maoni ya juu ya wanaanga mbalimbali waendelee kuchunguza Sayari zingine za kwenda kuishi wanadamu.