Wanasayansi Wasema Kimondo Kilichogonga Nyumba Kina Umri Mkubwa Kuliko Dunia

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kimondo kilichogonga nyumba nchini Marekani kina umri mkubwa kuliko sayari ya Dunia, wanasayansi wamesema.

Kitu hicho kilisafiri angani katikati ya mchana kabla ya kulipuka katika anga la jimbo la Georgia tarehe 26 Juni, shirika la NASA limethibitisha.

Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Georgia walichunguza kipande cha mwamba huo kilichopenya paa la nyumba katika jiji la McDonough.

Walibaini kuwa, kwa kuzingatia aina ya kimondo hicho, kinakadiriwa kuundwa takriban miaka bilioni 4.56 iliyopita, na hivyo kuwa takribani miaka milioni 20 zaidi ya umri wa Dunia.
================
A meteorite that crashed into a home in the US is older than planet Earth, scientists have said.

The object flew through the skies in broad daylight before exploding across the state of Georgia on 26 June, Nasa confirmed.

Researchers at the University of Georgia examined a fragment of the rock that pierced the roof of a home in the city of McDonough.

They found that, based on the type of meteorite, it is expected to have formed 4.56 billion years ago, making it roughly 20 million years older than Earth.
 
downloadfile-27.jpg
 
Waongooo hao wanataka ku boost sector ya utalii bhc
 
Wao wamejuaje

Kama huna elimu kabisa kuhusiana na mambo ya dating, kwa hapa JF tu, ndiyo utaelewa?

Kwa ufupi ni kwamba mawe ndiyo hutumika kufanya dating kwa sababu yana radioactive elements ambazo half life yake ni miaka mingi sana.

Radioactive elements zinazotumika kufanya dating ya miaka mingi sana ni pamoja na Uranium, Lead na Potassium.

Uranium isotope 238 ina half life ya miaka 4.468 billion.

Element yenye half life ndogo inayotumika kwenye dating ni Carbon isotope 14, ambayo half life yake ni miaka 5,760. Ukichukua kipande cha jiwe lenye Uranium, ukipima, utajua hilo jiwe lilitokea mwaka gani.

From Uranium iaotope dating, umri wa Dunia ni miaka 4.54 billion. Mwezi una umri wa miaka 4.46 billion.
 
Mkuu unapenda mipasho kwani ungeandika hilo gazeti bila mipasho ungepungikiwa nini?

Kuna mipasho gani? Nilikuuliza, kama hujui kabisa dating inavyofanyika kwa kutumia isotopes, hapa JF, itatosha kukuelewesha?

Tazama mwenyewe, maelezo kidogo tu, umeita ni gazeti!! Je, ikiwekwa process nzima inavyofanyika, utaiita nini? Au ulitaka jibu la mstari mmoja?

Samahani kama maelezo yangu yalikukwaza.

Lakini ukweli ni kuwa vitu vyote vya zamani sana, ni half life decay ya isotopes ndiyo inayotumika, na wakati mwingine relative dating (hasa kwa geological formations) ambayo haikupi absolute numbers bali inakueleza kipi ni older na kipi ni younger. Isotope dating inakupa number na possible error (plus or minus).
 
Sayari ya Dunia Ina miaka mingapi ?
Dunia ina miaka bilion 4.5 hii imethibitishwa na ulinganishi wa miamba ambayo utafautishwa umri kupitia kifaa cha caborn 14 ambacho kinauwezo kugundua umri kwa mwamba unaitwa Acasta.Na mwamba ulikuwa mwanzo wa kipindi cha dunia hipo steji ya Archean ikiwa ina maji tu kutoka kugongana na sayari nyengine na ndipo ikaundwa dunia na mwezi.story za geolojia ni ndefu acha tuchimbe madini
4,030,000,000_Years_Acasta_Gneiss.jpg
 
Hao waongo wangekuwa wanatambua umri wa wachezaji kutoka afrika
Hivi unafahamu hata hii Jamiiforum ukielezwa imetengezwaje au simu inatokana na madini yanayotoka ardhini utabisha wakati unavitumia.Haya ndio matatizo ya watu mliokosa akili unasema kwenye dini usitumie vya dunia hapo hapo unatumia MIC na spika zao ukitoka unawasha TV,Ukiumwa unapewa dawa,Usafiri wa kukufikisha we ni lijinga.
 
Kwanza ujue hakuna asiweza kutukana
Pili nimeeleza kwanini ni waongo
Wazungungu walishindwa kutambua taribo west alipunguza miaka 17 ili achezr mpira
 
Mbona comment yangu ilikua fupi na wala haikutaka maelekezo marefu nje ya JF mpaka wewe uje na povu la kuchambana mkuu. Elimu uliyonayo ungeitoa kama comment inayojitegemea bila kuleta mbwembwe za ooh hapa JF utaelewaje. Maelezo unayotoa ni mazuri na yanaeleweka vizuri tu.

Back
Top Bottom