Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wao wamejuaje
- Ni tag likipatikana jibu; Hawa "wanojiita" wana_Sayansi huwa wanatuongopesa sana, Si ndio?Wao wamejuaje
Kama huna elimu kabisa kuhusiana na mambo ya dating, kwa hapa JF tu, ndiyo utaelewa?
Kwa ufupi ni kwamba mawe ndiyo hutumika kufanya dating kwa sababu yana radioactive elements ambazo half life yake ni miaka mingi sana.
Radioactive elements zinazotumika kufanya dating ya miaka mingi sana ni pamoja na Uranium, Lead na Potassium.
Uranium isotope 238 ina half life ya miaka 4.468 billion.
Element yenye half life ndogo inayotumika kwenye dating ni Carbon isotope 14, ambayo half life yake ni miaka 5,760. Ukichukua kipande cha jiwe lenye Uranium, ukipima, utajua hilo jiwe lilitokea mwaka gani.
From Uranium iaotope dating, umri wa Dunia ni miaka 4.54 billion. Mwezi una umri wa miaka 4.46 billion.
Kuna mipasho gani? Nilikuuliza, kama hujui kabisa dating inavyofanyika kwa kutumia isotopes, hapa JF, itatosha kukuelewesha?Mkuu unapenda mipasho kwani ungeandika hilo gazeti bila mipasho ungepungikiwa nini?
Dunia ina miaka bilion 4.5 hii imethibitishwa na ulinganishi wa miamba ambayo utafautishwa umri kupitia kifaa cha caborn 14 ambacho kinauwezo kugundua umri kwa mwamba unaitwa Acasta.Na mwamba ulikuwa mwanzo wa kipindi cha dunia hipo steji ya Archean ikiwa ina maji tu kutoka kugongana na sayari nyengine na ndipo ikaundwa dunia na mwezi.story za geolojia ni ndefu acha tuchimbe madiniSayari ya Dunia Ina miaka mingapi ?
Hivi unafahamu hata hii Jamiiforum ukielezwa imetengezwaje au simu inatokana na madini yanayotoka ardhini utabisha wakati unavitumia.Haya ndio matatizo ya watu mliokosa akili unasema kwenye dini usitumie vya dunia hapo hapo unatumia MIC na spika zao ukitoka unawasha TV,Ukiumwa unapewa dawa,Usafiri wa kukufikisha we ni lijinga.Hao waongo wangekuwa wanatambua umri wa wachezaji kutoka afrika
ππππ Vipi si mlisema chai inawadhalilisha Haina kitu
Kwanza ujue hakuna asiweza kutukanaHivi unafahamu hata hii Jamiiforum ukielezwa imetengezwaje au simu inatokana na madini yanayotoka ardhini utabisha wakati unavitumia.Haya ndio matatizo ya watu mliokosa akili unasema kwenye dini usitumie vya dunia hapo hapo unatumia MIC na spika zao ukitoka unawasha TV,Ukiumwa unapewa dawa,Usafiri wa kukufikisha we ni lijinga.
Wazungu wanatupiga sasa mamamaaaaayeee
Kuna mipasho gani? Nilikuuliza, kama hujui kabisa dating inavyofanyika kwa kutumia isotopes, hapa JF, itatosha kukuelewesha?
Tazama mwenyewe, maelezo kidogo tu, umeita ni gazeti!! Je, ikiwekwa process nzima inavyofanyika, utaiita nini? Au ulitaka jibu la mstari mmoja?
Samahani kama maelezo yangu yalikukwaza.
Lakini ukweli ni kuwa vitu vyote vya zamani sana, ni half life decay ya isotopes ndiyo inayotumika, na wakati mwingine relative dating (hasa kwa geological formations) ambayo haikupi absolute numbers bali inakueleza kipi ni older na kipi ni younger. Isotope dating inakupa number na possible error (plus or minus).
4.5 billion yearsSayari ya Dunia Ina miaka mingapi ?