Anaandika Kenge
Tamaduni za wazee wa zamani waliishi kwenye misingi ya kuoa mabikra.Ilikua ni aibu kubwa sana kama ikibainika bint wa Mzee flani sio Bikra.Au Bwana fulani kaoa binti ambae sio bikra..Mapinduzi ya utandawazi yanafanya mambo haya yaonekane ni ya kizamani na
View attachment 2871001
Wanasayansi wameeleza pia kupitia dhana hii kwamba
MALAYA na MAKAHABA wanatabia za kufanana Duniani kote kama vile
Kukosa mshipa wa aibu.
Kukosa mshipa wa uoga.
Kukosa mshipa wa huruma
kukosa mshipa wa adabu
Hawachelewi kupigana wala kukutukana wala kukupiga kisu cha tumbo kwao sio shida..Hii yote ni
kwanini?
Ni kwasababu wamelala na wanaume wengi sana wenye Tabia tofauti majambazi,Makatili,Vibaka,wezi hivyo DNA za wanaume hao wote zimechanganya na kuingia kwenye damu(Bloodstream) ya mwanamke na kufuma Tabia mbalimbali.