Higginz shirah
Member
- Mar 23, 2022
- 11
- 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni MTANZANIA wa histria Mpemba kaanza harakat akiwa Tanzania na kamalizia huku huka ulaya alienda kuwapruvia taja kama huyuKuna mtanzania alitengeneza kifaa cha kugundua cancer ktk early stage huko USA
Kweli mkuu, ushuru kama vile kununua gari ni kitu haramuMijitu ya Tanzania imeejaa NONGWA na roho mbaya sana........mfano ushuru WA magari......yanatutangazia kuna meli inaleta magari mengi ........SASA shoboka kwenda kununua ndio utajua maana ya ushuru.......yaani kitu linakaza kwenye Kodi kama litapewa tuzo vile ......kumbe hamna lolote......
Thanks toAhsante kwa taarifa...