Wanasayansi watengeneza kinga mpya ya mwili inayoweza kushambulia 99% ya HIV

Hivi hawa jamaa cancer ndio imewashinda kabisa. Karne ya sasa ukimwi sio ugonjwa wa kutisha
 
Mim hiyo kinga kupewa ntaisubiria airpot kabisa,,kondom mbayaa

Kwani hata nyie "ndomu" huwa zinawakata stimu? Maana kuna mmoja huwa ananiambia hapendi nimshushie mzigo. Anataka tukwichkwich ila muda wa kushusha mzigo anataka nishushie nje ya viunga vya uwanja. Mi nikaona bora nitumie Condom ili nisitoke uwanjani kwenda kufunga magoli.... Nikajua ni kwa wote....
 
Zile sperms huwa zinaudhii hujui tu,zinakata stimu kabisa
Ila ukiwa unampenda mwanaume sana unaona kawaida tu,,lakin ukiwa na mtu kwa kufuruhishana tu mmmh hapana
 
lbd ubahatike uwe HIV carrier nd itakuwa dawa yako iyo..
 
Zile sperms huwa zinaudhii hujui tu,zinakata stimu kabisa
Ila ukiwa unampenda mwanaume sana unaona kawaida tu,,lakin ukiwa na mtu kwa kufuruhishana tu mmmh hapana

So hapo unazungumzia ule utam wa "nyama kwa nyama" au ubaya wa kondom kiafya? Coz kama ni penetration au kusuguliwa tu, anything might suffice. Iwe na kondom au bila kondom. Hii Physics yenu wadada ngumu sana kuielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…