ikinyunyi
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,065
- 940
Unadhan siogop ween! Naogopa sana ila kuna namna ambayo unafanya na unaisahau kbs condom! Unaishi km zaman....Huogop
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhan siogop ween! Naogopa sana ila kuna namna ambayo unafanya na unaisahau kbs condom! Unaishi km zaman....Huogop
Tusanulie hapa hyo namna mkuuUnadhan siogop ween! Naogopa sana ila kuna namna ambayo unafanya na unaisahau kbs condom! Unaishi km zaman....
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Cjui utajckiaje ukija kujua kuwa cancer sio ugonjwa!Hivi hawa jamaa cancer ndio imewashinda kabisa. Karne ya sasa ukimwi sio ugonjwa wa kutisha
Mim hiyo kinga kupewa ntaisubiria airpot kabisa,,kondom mbayaa
Zile sperms huwa zinaudhii hujui tu,zinakata stimu kabisaKwani hata nyie "ndomu" huwa zinawakata stimu? Maana kuna mmoja huwa ananiambia hapendi nimshushie mzigo. Anataka tukwichkwich ila muda wa kushusha mzigo anataka nishushie nje ya viunga vya uwanja. Mi nikaona bora nitumie Condom ili nisitoke uwanjani kwenda kufunga magoli.... Nikajua ni kwa wote....
Zile sperms huwa zinaudhii hujui tu,zinakata stimu kabisa
Ila ukiwa unampenda mwanaume sana unaona kawaida tu,,lakin ukiwa na mtu kwa kufuruhishana tu mmmh hapana
Unamaanishalbd ubahatike uwe HIV carrier nd itakuwa dawa yako iyo..