Fufua Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Dec 11, 2024
- 223
- 469
Wapo kwa ajili ya kura tu hawana mihemko ya kindezi...Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?
Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.
Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .
Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
Ccm kama zilivyokura zao ni hewaWanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?
Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.
Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .
Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
Ccm wanayo nguvu ya dola inawatosha kuwafanya wadeke pia.Wapo kwa ajili ya kura tu hawana mihemko ya kindezi...
Chadema inapokuwa na wanachama wengi mitandaoni inawasaidia kwenye kupata kura kwenye Uchaguzi Mkuu?Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?
Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.
Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .
Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
Labda hiyo tuCcm wanayo nguvu ya dola inawatosha kuwafanya wadeke pia.
Hata hao ccm kura zote ni fake😀😀Chadema inapokuwa na wanachama wengi mitandaoni inawasaidia kwenye kupata kura kwenye Uchaguzi Mkuu?
😀😀😀Akikuomba namba anakwambia niandikiw namba yako anakupa na simu yakeNi kweli wapo wengi ila ni wale illiterate! Hata kusave contact kwenye viswaswadu hawawezi.
SI kweliChadema mtu mmoja ana akaunti 20 mpaka 30 hapa JF. Instagram anakuwa na akaunti 10,Facebook na Twitter hivyo hivyo pamoja na YouTube. Kwa hiyo sio wengi mitandaoni.
Anaweza kuanzisha mada hapa JF halafu akaichangia kwa majina 20 tofauti akijifanya mtu tofauti
Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?
Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.
Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .
Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
Hapana Mkuu. CCM wanatumia msemo wa "Hala Hala mimi mvuvi mjanja. Najua pweza walipo"! Wapiga kura hawapo mitandaoni bali mitaani!Hata hao ccm kura zote ni fake😀😀
100% TrueUkiona mtu anasapoti CCM ujue ni Kiongozi wa CCM, ananufaika na CCM, lakini Viongozi wa CCM hawana muda kuja kuitetea CCM mitandaoni.
Wanaoitetea CCM mtandaoni wengi wanasubiri Nyazifa za Ukuu wa Wilaya, DC, na Nyazifa nyingine.
Watetezi wa Chadema wengi ni Wananchi wa kawaida ambao hawana malengo ya kuwa hata Mjumbe wa Nyumba 10, ila wamechoshwa na Utawala wa CCM.
Mleta mada,Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?
Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.
Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .
Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
CCM ni Chama cha wakulima na wafanyakazi, wana wanachama wengi ambao siasa zao ni siasa za ukweli on the ground na sio siasa hadaa za mitandaoni, kwasababu wanafanya kile kitu kinacho matters most, ni siasa za kura hazipigwi mitandaoni but on the ground.Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?
Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.
Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .
Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.