Wanasema CCM ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA?

Fufua Tumaini Jipya

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
223
Reaction score
469
Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?

Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.

Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .

Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
 
Wapo kwa ajili ya kura tu hawana mihemko ya kindezi...
 
Chadema mtu mmoja ana akaunti 20 mpaka 30 hapa JF. Instagram anakuwa na akaunti 10,Facebook na Twitter hivyo hivyo pamoja na YouTube. Kwa hiyo sio wengi mitandaoni.

Anaweza kuanzisha mada hapa JF halafu akaichangia kwa majina 20 tofauti akijifanya mtu tofauti
 
Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?

Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.

Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .

Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
Ccm kama zilivyokura zao ni hewa
 
Ni kweli wapo wengi ila ni wale illiterate! Hata kusave contact kwenye viswaswadu hawawezi.
 
Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?

Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.

Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .

Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
Chadema inapokuwa na wanachama wengi mitandaoni inawasaidia kwenye kupata kura kwenye Uchaguzi Mkuu?
 
Chadema mtu mmoja ana akaunti 20 mpaka 30 hapa JF. Instagram anakuwa na akaunti 10,Facebook na Twitter hivyo hivyo pamoja na YouTube. Kwa hiyo sio wengi mitandaoni.

Anaweza kuanzisha mada hapa JF halafu akaichangia kwa majina 20 tofauti akijifanya mtu tofauti
SI kweli
 
Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?

Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.

Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .

Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.

Wako huku:

Go__wjRWgAASHWd.jpeg
 
Ukiona mtu anasapoti CCM ujue ni Kiongozi wa CCM, ananufaika na CCM, lakini Viongozi wa CCM hawana muda kuja kuitetea CCM mitandaoni.

Wanaoitetea CCM mtandaoni wengi wanasubiri Nyazifa za Ukuu wa Wilaya, DC, na Nyazifa nyingine.

Watetezi wa Chadema wengi ni Wananchi wa kawaida ambao hawana malengo ya kuwa hata Mjumbe wa Nyumba 10, ila wamechoshwa na Utawala wa CCM.
 
100% True
 
Kama kunakuwepo na kura hewa wakt wa uchaguzi je itashndkanaje kuwepo takwimu hewa za wanachama?
 
Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?

Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.

Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .

Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
Mleta mada,

Hii ni tathimini fupi tu tuliyoifanya tukiwa ktk taasisi inayohusika na máswala ya utafiti wa máswala ya siasa na uchaguzi:

Mwaka 2020 kipindi cha kuelekea kwenye chaguzi za ndani za watia nia nafasi ya wabunge na udiwani,, watia nia CCM ngazi ya ubunge kwa majimbo yote nchini walifika takribani 9876
Chadema ilifuatia kwa kurekodi watia nia takribani 2750 ngazi ya ubunge
ACT ikifuata kwa kuwa na idadi ya chini kidogo

So kwa tathimini hio fupi inaonesha namna CCM ilivyopata watia nia wengi zaidi takribani mara tatu na nusu kulinganisha na Chadema

Hii ilionesha namna CCM inavyokubalika, kuaminika na kubeba matumaini kwa Watanzania walio wengi zaidi

Na multiplier effect ya hicho kinachoonekana kwenye idadi ya watia nia wa ubunge ktk vyama kinaenda hivyo hivyo mpaka ktk ngazi ya wapiga kura
 
Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.?

Hapa lipo swali la kujiuliza Sana.

Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana .

Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
CCM ni Chama cha wakulima na wafanyakazi, wana wanachama wengi ambao siasa zao ni siasa za ukweli on the ground na sio siasa hadaa za mitandaoni, kwasababu wanafanya kile kitu kinacho matters most, ni siasa za kura hazipigwi mitandaoni but on the ground.

Mfano mzuri ni huu uchaguzi Mkuu wa October 2025 kwa upande wa urais, CCM tumeisha maliza kazi kitambo na matokeo nimeisha watangazia humu!, angalia tarehe ya bandiko hili Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Kilichobakia ni kusubiria tuu ile tarehe ya kwenda kukamilisha tuu taratibu za kutimiza tuu lile takwa la kikatiba kwa kwenda kituoni, unachukua..., unaweka...
malizia.
P
 
Back
Top Bottom