The winner writes History, ulishawahi kuusikia na kuulewa huo msemo ?
Nadhani umetumia huo mfano vibaya.
asingeiba nani angeshinda? swala la kina katambi muwaulize kwanini walihamia CCM na bado wapo CCMWaterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri...
Tuwasubili sukuma gang wazee wa legacy pengine watakuja na majibu mazuri😁Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel
You can be foolish but you can't fool us!!
Kayafa..Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Unaweza ukaweka ushahidi wa wizi hadharani au ni ule ule umbeya wa facebook na twitter?. Unaweza ukaenda mahakamani kufungua kesi kwa haya uliyoyaanzishia kabisa uzi au ndio kilio kilio kile kisicho na sababu za msingi?.Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Hata mke wake alikuwa hamkubaliWaterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Tatizo la wabongo wengi story za vijiweni ndio wanatuletea tuzijadili.Hii ni tatizo kubwa Sana.Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Hata mke wake alikuwa hamkubali
Katika maamuzi yote aliyofanya "kuua upinzani" ndio uamuzi mbovu uliomwondolea sifa ya kuendelea kuwa rais wa Tanzania, na aliondolewaMbali na mapungufu yake kama binadamu, jamaa alikuwa mtu wa maamuzi... RIP JPM
Muulize dingi akoKwa hiyo alikuwa ana kufinya ww badala ya mke wake.
Hata familia yake ilikuwa haimkubali hata kdgKama ailikuwa anakubalika kwa kiasi hicho basi ni chawa wake waliokuwa wanamkubali na si vinginevyo!