Poleni na Mapambano, wakuu
šKuna msemo mmoja unasema, mdomo huuumba watu wanasema ukijinenea mazuri basi utapata mazuri ukijinenea mabaya basi utapata mabaya
"Basi kuanzia Leo na mimi najinenea mimi bolotoba ipo siku nitamiliki zaidi ya Bilion moja kwenye account"
šMartin Luther alinena "one day whites and blacks will shake hands" na kweli imetokea
šProf Jay alijitabiria kwenye nyimbo zake atakuwa wanasiasa na kweli akawa sikiliza nyimbo "ndio mzee"
šKanumba alisema hatooa na kweli alikufa bila kuoa
šNyerere alisema "mpinzani wa kweli atatoka chama Cha mapinduzi na kweli wapinzani wa kweli tu nawaona"Mh. Mpina"
šMama yangu mzazi alinambia "usichelewe kuoa ili nione wajukuu" sijaoa hadi leo alikufa bila kuwaona wajukuu
šMakonda alimnenea mama Samia "ikiwezekana mama siku moja uje kuwa rais wa kwanza mwanamke 2014 hiyo"
Kinachonichanganya kwanini mtu akijinenea mabaya kuna asilimia kubwa ya
naweza kutokea? Tofauti na kunena mazuri š¤āļø
Tajiri Sina BAYA Monetary doctor makutupora Fanton Mahal