Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Innocent until proven guilty.
<br />Kwani kutembea naye kuna shida gani? Mbona huwa naona watu wengi wanaongozana na wake za watu?
FL, hii ya ku ignore huwa siipendi sana ... hasa nikikumbuka usemi wa marehemu aliuwawa kimakosa tunaomba radhi kwa hilo.. mi namshauri astay away na vitu vya watuuna ignore maana ukweli unaujua wewe binadamu wameumbwa kuongea mwisho wa siku wataacha wenyewe
<br />Before proven, wanaweza mchuna ngozi kijana....
sina imani majirani wataongelea kitu amabacho hakipo ukweli hujitenga bna uongo hata iweje zaidi ya watu na vijana wanaona jinsi gani unavyo fanya mambo yako kwa niwewe tu mitaani kwa nini wasiongelee wengine?
<br />
<br />
just prove them wrong