Wanasema "Trust your Intutions", Hapa Naibiwa

Wanasema "Trust your Intutions", Hapa Naibiwa

Nimeisha piga wake wa wawatu wawili najua nilichowafanya, sikuwa naweza kukifanya kwa wife.. na mie nilipo pigiwa maumivu yake niliyaelewa . .. naongea kwa uzoefu mwanawane 😂😂😂
🤣🤣🤣 Wee nae umekaa kiboya watu wanakugegedeaje mkeo....anyways sawa mke kakagegedwa vipi hukumuom a wofe mpige threesome na huyo jamaa?
 
Hawa watoto wa 2000 ni wa kuwa nao makini.
Hawaogopi maradhi wa nini.
 
Mara umekaa zako, mpenzi wako anakuaga kuwa ana safari kwenda kusalimia ndugu.

Unamuaga vizuri, mara huna hili wala lile inaingia sms

Anasema eti, "ukiona sipatikani, ujue ni mtandao unasumbua."

Mara zote amini usiamini hapo kuna usaliti unaenda kufanyika.

Update#:
Kama ambavyo intutions zangu zilinituma, demu aliliwa jana jioni,.
Demu kajiumbua mwenyewe kwa ujinga wake.
Si unamjibu poa tu wewe kauze tu Mungu akubariki usipate uti sugu
 
Back
Top Bottom