kenyamanyori
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 734
- 326
Leo asubuhi katika kipindi cha tuongee asubuhi Star Tv, nimemsikiliza mwanasheria mmoja akitetea serikali 2 nchi 2 Tanzania. Kwa kweli huyu jamaa anatiashaka amepata wapi taaluma ya sheria alikuwa anaongea kichefuchefu tupu. Sio kwa vile mimi ni muumini wa serikali 3 katika kuondoa kero za muungano lakini jamaa hajiwezi asilani na nikigundua kuwa huyu jamaa ni wakili hata bure siwezi kukubali uwakilishi wake. wenzake mumuelimishe.