caputein
Member
- Jan 17, 2014
- 72
- 9
Leo asubuhi katika kipindi cha tuongee asubuhi Star Tv, nimemsikiliza mwanasheria mmoja akitetea serikali 2 nchi 2 Tanzania. Kwa kweli huyu jamaa anatiashaka amepata wapi taaluma ya sheria alikuwa anaongea kichefuchefu tupu. Sio kwa vile mimi ni muumini wa serikali 3 katika kuondoa kero za muungano lakini jamaa hajiwezi asilani na nikigundua kuwa huyu jamaa ni wakili hata bure siwezi kukubali uwakilishi wake. wenzake mumuelimishe.
Unakosea kimsema...ni haki yake kisheria kwa kifungu 18(a) cha katiba...haki ya kitoa maon yake bila kuingiliwa