Wanasheria(Baadhi) mnadhalilisha taaluma ya sheria

Wanasheria(Baadhi) mnadhalilisha taaluma ya sheria

Leo asubuhi katika kipindi cha tuongee asubuhi Star Tv, nimemsikiliza mwanasheria mmoja akitetea serikali 2 nchi 2 Tanzania. Kwa kweli huyu jamaa anatiashaka amepata wapi taaluma ya sheria alikuwa anaongea kichefuchefu tupu. Sio kwa vile mimi ni muumini wa serikali 3 katika kuondoa kero za muungano lakini jamaa hajiwezi asilani na nikigundua kuwa huyu jamaa ni wakili hata bure siwezi kukubali uwakilishi wake. wenzake mumuelimishe.

Unakosea kimsema...ni haki yake kisheria kwa kifungu 18(a) cha katiba...haki ya kitoa maon yake bila kuingiliwa
 
Wewe na huyo mwanasheria ni vilaza tu, serikali moja, nchi moja ndio mpango mzuri.
 
Sijaona hoja yako ya msingi kuwalaum wanasheria hapa. Alichosema ndo anachokiamini na wewe una haki ya kusema unachokiamini kwa nn utake na wengine wakufuate wewe na hapa wewe ndo unamatatizo unafikiri wansheria ndio wanaweza kutoa maamuzi ya mwisho kwa iyo wakitoa mawazo tofauti na wewe basi wanasheria hawafai,badilika kimawzo tafadhali
 
Nikweli huyubwana atambue kwamba kilamtu anamawazo yake.
 
Mimi naamini katika serikali mbili na haki yangu kikatiba kuwaza hivyo.
 
Kenyamanyori your objection overruled because counselor was correct.
 
ikiwa Shivji ametea Serikali mbili na ndiye Mwalimu wao kuna nini tena hapo
 
Back
Top Bottom