kenyamanyori
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 734
- 326
Wanasheria nao ni watu tu kama walivyo watu wengine. Wao si breed tofauti na wala siyo ma-genius.
Hivyo, wapo walio na ujuzi na ufahamu wa hali ya juu, wapo wale wa kawaida tu, wapo wale wazembe, wapo wadanganyifu, na kadhalika.
Leo asubuhi katika kipindi cha tuongee asubuhi Star Tv, nimemsikiliza mwanasheria mmoja akitetea serikali 2 nchi 2 Tanzania. Kwa kweli huyu jamaa anatiashaka amepata wapi taaluma ya sheria alikuwa anaongea kichefuchefu tupu. Sio kwa vile mimi ni muumini wa serikali 3 katika kuondoa kero za muungano lakini jamaa hajiwezi asilani na nikigundua kuwa huyu jamaa ni wakili hata bure siwezi kukubali uwakilishi wake. wenzake mumuelimishe.

nimependa sana hii,wape ukweli manake huwa wanajiona miungu watu!
Wewe ni mwanasheria?wivu wakusumbua wewe si bure...
Wewe ni mwanasheria?
Kwanini wataka kujua?
Nimeghairi kutaka.u won
Leo asubuhi katika kipindi cha tuongee asubuhi Star Tv, nimemsikiliza mwanasheria mmoja akitetea serikali 2 nchi 2 Tanzania. Kwa kweli huyu jamaa anatiashaka amepata wapi taaluma ya sheria alikuwa anaongea kichefuchefu tupu. Sio kwa vile mimi ni muumini wa serikali 3 katika kuondoa kero za muungano lakini jamaa hajiwezi asilani na nikigundua kuwa huyu jamaa ni wakili hata bure siwezi kukubali uwakilishi wake. wenzake mumuelimishe.
Afadhali...
Next time wanna be in control, usianze mapema hivyo kukata kona
Unajibu ulichoulizwa kwanza
Tatizo ulitoka nje ya mada, nami sikua na budi kutoka nje ya swali...
Tit-out of theme, Tat-should out of thread