Wanasheria, hivi kweli hapa kuna kesi?

CHADEMA jitoeni msipoteze muda kwenda mahakamani.

Hadi hapo Mbowe kashahukumiwa miaka kadhaa.

Na huyo Jaji akimfunga Mbowe anapanda cheo. Hawezi kuchezea fursa adimu na adhimu kama hiyo.

Africa=Bara la Giza
Huku ndio kuna mlango wa kuendea kuzimu.
 
CHADEMA bhana,wanasema wanajua kinachoendelea halafu wanaendelea kuhudhuria kesi,hadi Mbowe atakapofungwa ndiyo watakoma kuhudhuria.

Nakumbuka na mambo ya uchaguzi,huwa wanalalamika kua tume siyo huru na bado wanashiriki uchaguzi huku matokeo wanayajua, sijui huwa wanawaza nini? Haya bhana ndiyo wapinzani hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…