The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Habari.
Wanasheria, naomba kujua mtu anaetuhumiwa kwa kosa kama hili adhabu yake ni nini na kosa lake hasa ni lipi.
Kuna mdogo wangu aliomba kazi mahala, akaombwa kupeleka vyeti baada ya usaili, matokeo yametoka Baraza kua cheti chake kimoja ameghushi.
Lakini ukiangalia matokeo yake mtandaoni na taarifa zake ziko sahihi na cheti chake hicho ila Baraza wanasema ameghushi.
Kwa taarifa imeonekana kwamba kuna watu hua wanadurufu vyeti(hivyo cha kwake kinaonekana kudurufiwa ila taarifa zake zote ni sahihi). Yeye anadai hajui chochote kuhusu hilo. Yeye halisi ndio alisoma hiyo shule na matokeo yake ni mazuri zaidi.
Naomba kujua huyu kosa lake ni lipi hapo, je kama mtu alidurufu cheti chake na akambadilishia akampa copy na bila kujua akapeleka copy baraza, kosa lake kisheria ni lipi na adhabu yake itakua ipi?
Je mahakamani hutumika logic au mtu tu anahukumiwa kwa kosa lolote hata kama limesababishwa na mtu mwingine?
Ahsante.