The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
- #21
Anathibitishaje?Huyo hana kosa anatakiwa athibitishe kwamba cheti keli ni chake basi,kama aligushi ,kifungu 337 cha penal code kinamtandika kifungo kisichozidi miaka saba gerezani,ingekuwa bima na kodi adhabu ni zaidi ya hapo.
Yeye anasema cheki alichopewa shuleni ndiyo hicho ambacho majibu yametoka Baraza la Mitihani kua kimeghushiwa. Ukiangalia hicho cheti na matokeo yaliyo kwenye mtandao wa Necta hakuna tofauti ila Baraza wanasema ameghushi.
Matokeo yake hayana mashaka yoyote maana alifaulu vizuri sana masomo yote.