The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
-
- #21
Anathibitishaje?Huyo hana kosa anatakiwa athibitishe kwamba cheti keli ni chake basi,kama aligushi ,kifungu 337 cha penal code kinamtandika kifungo kisichozidi miaka saba gerezani,ingekuwa bima na kodi adhabu ni zaidi ya hapo.
Siku aluyochukua cheti alisaini? Shule ina nakala ya matokeo ya wanafunzi wote?,Mkuu wa shule anamaliza hyo kesi labda kama ni kweli amegushi.Anathibitishaje?
Yeye anasema cheki alichopewa shuleni ndiyo hicho ambacho majibu yametoka Baraza la Mitihani kua kimeghushiwa. Ukiangalia hicho cheti na matokeo yaliyo kwenye mtandao wa Necta hakuna tofauti ila Baraza wanasema ameghushi.
Matokeo yake hayana mashaka yoyote maana alifaulu vizuri sana masomo yote.
Cheti alichonacho yeye Mkononi ambacho kilienda Baraza ni halisi au feki??Habari.
Wanasheria, naomba kujua mtu anaetuhumiwa kwa kosa kama hili adhabu yake ni nini na kosa lake hasa ni lipi.
Kuna mdogo wangu aliomba kazi mahala, akaombwa kupeleka vyeti baada ya usaili, matokeo yametoka Baraza kua cheti chake kimoja ameghushi.
Lakini ukiangalia matokeo yake mtandaoni na taarifa zake ziko sahihi na cheti chake hicho ila Baraza wanasema ameghushi.
Kwa taarifa imeonekana kwamba kuna watu hua wanadurufu vyeti(hivyo cha kwake kinaonekana kudurufiwa ila taarifa zake zote ni sahihi). Yeye anadai hajui chochote kuhusu hilo. Yeye halisi ndio alisoma hiyo shule na matokeo yake ni mazuri zaidi.
Naomba kujua huyu kosa lake ni lipi hapo, je kama mtu alidurufu cheti chake na akambadilishia akampa copy na bila kujua akapeleka copy baraza, kosa lake kisheria ni lipi na adhabu yake itakua ipi?
Je mahakamani hutumika logic au mtu tu anahukumiwa kwa kosa lolote hata kama limesababishwa na mtu mwingine?
Ahsante.
Inawezekana alipoteza cheti Original akaenda Kuchonga feki lakini chenye matokeo ya Baraza,Anathibitishaje?
Yeye anasema cheki alichopewa shuleni ndiyo hicho ambacho majibu yametoka Baraza la Mitihani kua kimeghushiwa. Ukiangalia hicho cheti na matokeo yaliyo kwenye mtandao wa Necta hakuna tofauti ila Baraza wanasema ameghushi.
Matokeo yake hayana mashaka yoyote maana alifaulu vizuri sana masomo yote.
Matokeo yaliyoko kwenye hicho cheti ni halali, ila inasemekana kua ile peper sheet yenyewe iliyohold hayo matokeo sio halali hvyo kufanya cheti kuonekana kua kimeghushiwa.Cheti alichonacho yeye Mkononi ambacho kilienda Baraza ni halisi au feki??
Anasema hajawahi kufanya hivyoInawezekana alipoteza cheti Original akaenda Kuchonga feki lakini chenye matokeo ya Baraza,
Kuna Kipindi ilikua ukipoteza cheti haupewi kingine bali Baraza wanatuma kule uliko-apply sasa pengine yeye akaona hilo ni Usumbufu akachonga chenye kufanana matokeo na kile cha awali kilichopotea,
Muulize vizuri
Kosa lake ni kukutwa na Pepa isiyo halali kaka,Anasema hajawahi kufanya hivyo
Ni kweli nimesikia kua hilo jambo lilikua likifanyika, yeye anadai hajawahi kufanya na hajui kama kuna mtu alifanya hvyo kwenye cheti chake.
Kosa lake ni nini hapo mkuu?
Vya zamani.Kosa lake ni kukutwa na Pepa isiyo halali kaka,
Wajua wao wanajua kabisa Cheti walichompa mdogo wako kwenye System yao kilikua kinasoma Serial Number gani, sasa ukiwapelekea kingine watajua tu,
Ni hivi vipya venye Picha?? au vile vya zamani??
Mkuu kwa uzoefu wako huyu dogo pona yake ni nini? Maana polisi wanafanya upelelezi kujua kama kweli yeye ndie mwenye hizo sifa za kitaaluma, wakijiridhisha, watamuachia au watampeleka mahakamani?Kosa lake ni kukutwa na Pepa isiyo halali kaka,
Wajua wao wanajua kabisa Cheti walichompa mdogo wako kwenye System yao kilikua kinasoma Serial Number gani, sasa ukiwapelekea kingine watajua tu,
Ni hivi vipya venye Picha?? au vile vya zamani??
Mkuu kwanza najua sio dogo bali in Wewe ndo maana una uhakika hujabadilisha, pili ni kweli wapo waalimu wasio waaminifu ambao hua wanabadilisha cheti kwa kuondoa orijino na kueka feki with the same matokeo, sasa basi cha kufanya ni uende shule wakupe barua ya kuthibitisha kua ulisoma hapo then uende nayo baraza ili uombe kitu kinaitwa statement of result(RS) then uwaambie hyo ndo waitumie kwa ajili ya uhakiki, by the way wenye kesi kama zako walisamehewa na kurudishwa kazini, npo na afisa utumishi nguli hapa wa halmashauri flan kapiga simu kwa mhusika baraza na kupewa maelekezo hayo kwa mengine njoo chemba maana unanchelewesha kunywa biaMkuu kwa uzoefu wako huyu dogo pona yake ni nini? Maana polisi wanafanya upelelezi kujua kama kweli yeye ndie mwenye hizo sifa za kitaaluma, wakijiridhisha, watamuachia au watampeleka mahakamani?
Itakuwa ni hivyo tu!!Inawezekana cheti cha dogo kimepokwa na daudi bashite, mgalatia
Maelezo mazuri kabisa! Ila naomba uniambie hiyo bia unanywea wapi saa hizi nije nikuongezee? Mimi ni kamanda wa migambo wa jiji!Mkuu kwanza najua sio dogo bali in Wewe ndo maana una uhakika hujabadilisha, pili ni kweli wapo waalimu wasio waaminifu ambao hua wanabadilisha cheti kwa kuondoa orijino na kueka feki with the same matokeo, sasa basi cha kufanya ni uende shule wakupe barua ya kuthibitisha kua ulisoma hapo then uende nayo baraza ili uombe kitu kinaitwa statement of result(RS) then uwaambie hyo ndo waitumie kwa ajili ya uhakiki, by the way wenye kesi kama zako walisamehewa na kurudishwa kazini, npo na afisa utumishi nguli hapa wa halmashauri flan kapiga simu kwa mhusika baraza na kupewa maelekezo hayo kwa mengine njoo chemba maana unanchelewesha kunywa bia
Mkuu, sio mimi ni dogo.Mkuu kwanza najua sio dogo bali in Wewe ndo maana una uhakika hujabadilisha, pili ni kweli wapo waalimu wasio waaminifu ambao hua wanabadilisha cheti kwa kuondoa orijino na kueka feki with the same matokeo, sasa basi cha kufanya ni uende shule wakupe barua ya kuthibitisha kua ulisoma hapo then uende nayo baraza ili uombe kitu kinaitwa statement of result(RS) then uwaambie hyo ndo waitumie kwa ajili ya uhakiki, by the way wenye kesi kama zako walisamehewa na kurudishwa kazini, npo na afisa utumishi nguli hapa wa halmashauri flan kapiga simu kwa mhusika baraza na kupewa maelekezo hayo kwa mengine njoo chemba maana unanchelewesha kunywa bia
Ataje viranja wanoko toka akiwa njukaAwemkweli, kama kweli alisoma hapo na akafauru
Ushaidi wa kimazingira ya shule aliyosoma utamsaidia
Ha ha ha ha ha sijafunga bana anyway ngoja nijaribuMkuu, sio mimi ni dogo.
Pili naona umefunga chemba yako mkuu, pm iko closed until further notice, hahahaaaa. Unajua watu wakubwa hamtaki usumbufu wa watu na pm zisizo na maana.
Ni pm tubonge mkuu. Maana najaribu kukupm umefunga pm yako.
Nipo polisi mesi hapa oysterbay nmekaa karibu na kaunta kuna TV ndogo ndo utanikuta hapo mkuu njoo tuMaelezo mazuri kabisa! Ila naomba uniambie hiyo bia unanywea wapi saa hizi nije nikuongezee? Mimi ni kamanda wa migambo wa jiji!
Mchezo utakuwa umechezwa shuleni na mtumishi hapo shuleni kwake. Mi ilitokea cheti changa alipewa MTU nilipoenda kukifuata nikaambiwa nishakichukuwa wakanionyesha na pahala niliposaini nikawaambia hiyo siyo sahihi yangu na Walah sio mwandiko wangu wakabisha ila ubishi ulikuja kuisha baada ya jamaa kukamatwa akikitumia cheti kuingilia Polisi na kwenye jopo la usaili alikuwepo shemeji yangu akamwambia tu jamaa akirudishe tena kwangu na Walah sio shuleni. Nakumbuka mkuu wa shule alinipigia mpaka magoti Hili jambo lisiende mbali na yule jamaa alikuja akanitafuta aliponiona alinitupia cheti na kuondoka mbio kwa kasi ya Hussein boltNamba yake ya mtihani na details zilizoko Baraza viko sahihi vyote.
Wasiwasi wangu ni kwamba labda alimpa mtu cheti chake, huyo mtu akakichezea, akadublicate mtaani kisha akamrudishia ile dublicate na yeye kusepa na original, kwa yeye kujua au kutokujua.
Maana najua watu wengi wana matatizo ya storage ya important documents. Inawezekana kabisa kwa uzembe wake au bahati mbaya vyeti vyake vilikua exposed kwa watu wahuni wakaamua kuvichakachua.
Yeye anadai hajawahi kumpa mtu ila hana uhakika 100% kua cheti chake hakijawahi kuonwa na mtu mwingine katika makazi yake.
na mashaka na huyo dogoDogo kamaliza four four 2007.
Hajajiongezea marks. Ukiangalia marks ya kwenye hicho cheti na marks zilizoko kwenye website ya Baraza yanafanana.
Cheti hicho anadai ndio alichokichukua shuleni, matokeo ya kwenye cheti na yako sawa na ufaulu wake.
Hakuna mahala nimesema cheti chake kilidukuliwa. Ila nimesema, inasemekana watu hudurufu vyeti, inaonekana cheti chake sio original(cheti namaanisha ile karatasi) ila content au details zake ziko sahihi.
Hicho original chake(ambacho baraza wamesema nlkimeghushiwa) ndicho alichokipeleka na imeonekana sio halisi.
Nadhani umepata picha. Sasa kwa uzoefu wako hapo shida iko wapi?
Mashaka gani mkuu.na mashaka na huyo dogo