Wanasheria, huyu hapa kosa lake ni lipi na adhabu yake inaweza kua nini?

Inawezekana kabisa. Kuna mahala aliviweka au kuvitoa vikachezewa.

Sasa suluhisho hapo ni nini mkuu
atoe ripoti polisi na NECTA akieleza ukweli. Ushahidi wa shule alizosoma, walimu wake particularly mwalimu mkuu watampa ushahidi usio na mashaka. Amemaliza mwaka gani? Hiyo itamuweka huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…