Wanasheria: Je, huyu anahitaji kuwa na deed poll kwenye petition yake

Wanasheria: Je, huyu anahitaji kuwa na deed poll kwenye petition yake

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Jina kwenye cheti chake cha O Level: Mohamed DAIMA.

Jina kwenye cheti cha A level;

Mohamed DAIMA.

Jina kwenye cheti chake cha LLB

Mohamed DAIMA.

Jina kwenye cheti chake cha Law School

Mohamed DAIMA.

JINA KWENYE CHETI CHAKE CHA KUZALIWA:

Mohamed DAIMA.

Kwenye cheti chake cha kuzaliwa Kuna sehemu ya jina la Baba ake ambalo ni HUSSEIN DAIMA.

SWALI LANGU : JE HUYU JAMAA KWENYE PETITION YAKE ATATAKIWA KU ATTACH NA DEED POLL? Sababu jina Hussein halipo kwenye majina ya vyeti vyake vya kitaaluma?

Kwa ambao mmewahi kufanya petition na wenye ujuzi na swala hili naomba maelekezo yenu tafadhali.

Dogo anafanya petition ya kuwa admitted as an Advocate of the High Court of Tanzania and Subordinate Court thereto save for primary courts .

Kapiga mzinga WA hela ya deed poll . So nataka kujiridhisha Kwanza.

With much thanks in advance
 
Hapana haitajiki, hata mie wakati wangu miaka ile nafanya petition ilikua same story yaan ivyo ivyo kama ulivyo leta hasa kwenye jina la baba, haina haja ya deed poll hapo.
 
.
Hapana haitajiki, hata mie wakati wangu miaka ile nafanya petition ilikua same story yaan ivyo ivyo kama ulivyo leta hasa kwenye jina la baba, haina haja ya deed poll hapo.
Asante Sana mkuu. Madogo wanajazana ujinga Sana kwenye group lao
 
Back
Top Bottom