Asante Sana mkuu. Madogo wanajazana ujinga Sana kwenye group lao.
Hapana haitajiki, hata mie wakati wangu miaka ile nafanya petition ilikua same story yaan ivyo ivyo kama ulivyo leta hasa kwenye jina la baba, haina haja ya deed poll hapo.
Yeah wako excited kua mawakili, wanaona dunia imeanza kufunguka so wanataka perfection ya kila kitu.Asante Sana mkuu. Madogo wanajazana ujinga Sana kwenye group lao