WATAALAMU TUSAIDIANE MAANA KUNA MSHIKAJI WANGU KAPATA ENEO AMBALO LINA GOLD ZAMANI WALISHAWAHI CHIMBA LIKA FUKIA WATU ,MSAADA
a) sheria zipi zinayosimamia madini utafutaji na upatikanaji ,umiliki na uuzaji.
b) Ni hatua gani unapitia kusajili kampuni ya kutafuta madini.