Wanasheria: Jinsi ya kujimilikisha mgodi uliougundua kisheria.

Wanasheria: Jinsi ya kujimilikisha mgodi uliougundua kisheria.

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
WATAALAMU TUSAIDIANE MAANA KUNA MSHIKAJI WANGU KAPATA ENEO AMBALO LINA GOLD ZAMANI WALISHAWAHI CHIMBA LIKA FUKIA WATU ,MSAADA

a) sheria zipi zinayosimamia madini utafutaji na upatikanaji ,umiliki na uuzaji.

b) Ni hatua gani unapitia kusajili kampuni ya kutafuta madini.
 
Back
Top Bottom