CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Naomba kujua kama mahakama ya MAFISADI ndiyo itakuwa final katika kesi zitakazofikishwa kwake. Au mtuhumiwa ana nafasi ya kukata rufaa Court of Appeal.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutafuta sifa tu! There is no need of having another division of the high court specif for economic crimes the so christened "mahakama ya mafisadi". Kitakachotokea hapa ni kuwapandisha mahakimu wasio na sifa/hawajafikia viwango waweze kuhudumu katika makahama hiyo maana majaji hawatoshi!Mie nilikuwa najiuliza hivi hii Mahakama ya mafisadi itakuwa Na Sheria tofauti Na zilizopo za jinai? Pia nilikuwa najiuliza hivi Mahakama zilizopo zimeshindwa kushughulikia kesi za ufisadi mpaka iundwe Mahakama ya mafisadi?
Mie nilikuwa najiuliza hivi hii Mahakama ya mafisadi itakuwa Na Sheria tofauti Na zilizopo za jinai? Pia nilikuwa najiuliza hivi Mahakama zilizopo zimeshindwa kushughulikia kesi za ufisadi mpaka iundwe Mahakama ya mafisadi?