frank mkweli
Member
- Aug 9, 2013
- 92
- 12
Maelezo yako hayapo clear.Habari wakuu vipi wazima?
Mimi mzima nina swali naomba nikuulize.
Hivi kuna Sheria ya kumshitaki mwajiri kama alikuwa haweki hela za NSSF na loan board ukamshitaki, na lingine kama bima yangu haifanyi kazi.
Natakiwa nifanye nini na pia zile hela za helsb ambazo zimekatwa kwangu hazijaenda naweza zi claim cash?
1. kuhusu NSSF wewe huna mamlaka ya kumstaki Mwajiri isipokuwa itabidi utoe taarifa katika ofisi za NSSF alafu wenyewe watafanya ufuatiliaji na ikibidi kufungua kesi dhidi ya Mwajiri wako,kwani wao ndio wana mamlaka kisheria.Hivi kuna Sheria ya kumshitaki mwajiri kama alikuwa haweki hela za NSSF na loan board ukamshitaki, na lingine kama bima yangu haifanyi kazi.
HESLB:huwezi kupewa kiasi chochote incash kwani sheria hairuhsu hivyo,hivyo uanweza kusoma muongozo hapo juu pia wasiliana na ofisi za HESLB kwa ufafanuzi zaidi.Natakiwa nifanye nini na pia zile hela za helsb ambazo zimekatwa kwangu hazijaenda naweza zi claim cash?