Huwa nawasikia ktk media siku wana anniversary tuu.Muulize Sitola Raisi wa Tanganyika Law Society ilianzisha mwanzoni mwa miaka ya Hamsini lengo lake likiwa kutetea watawala ndicho wafanyacho hutasikia kamwe hata kauli yao kukemea maovu wamekaa utafikiri ni tawi la CCM duh nchi hii bora kufa tu hakuna sababu ya kuishi