Wanasheria mnasemaje ktk hili?Ugaidi umekuwa ukilazimishwa in a predatory ways..Je ni halali?

Wanasheria mnasemaje ktk hili?Ugaidi umekuwa ukilazimishwa in a predatory ways..Je ni halali?

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
Mods naomba msinchanganye hii:
Wanasheria mnasemaje ktk hili?Ugaidi umekuwa ukilazimishwa in a predatory ways..Je ni halali?

Tumeona majaribio mengi ya kulazimisha ugaidi yakifanywa na polisi,kwa kiasi cha kufanya kabisa ugaidi ili mwingine aitwe gaidi.Na imedhihirika wazi pale anayeitwa gaidi akikosekana na hatia basi gaidi wa kweli aliyefanya matendo hashughulikiwi kabisa.Hadi hapa sheria zinasemaje?
 
Muulize Sitola Raisi wa Tanganyika Law Society ilianzisha mwanzoni mwa miaka ya Hamsini lengo lake likiwa kutetea watawala ndicho wafanyacho hutasikia kamwe hata kauli yao kukemea maovu wamekaa utafikiri ni tawi la CCM duh nchi hii bora kufa tu hakuna sababu ya kuishi
 
Huwa nawasikia ktk media siku wana anniversary tuu.
 
mwigulu sasa ataanza jua ugaidi ni nini na nani ndie gaidi..bahati mbaya atahitajika kuutazama ukweli mchungu...kuwa yeye ndie mwanzilishi.
 
Jamani hakuna wa kuwakumbusha CCM kuwa wanafanya kazi bure na uovu kwani hawatakaa wapate gaidi ambaye si wamuanaye ktk kioo wakijiangalia.
 
Back
Top Bottom