lakini kwanza hujasema wamekwambia inakuwaje, wameshindwa kwa hiyo? Umewaomba hela yako wakataa ama wamesemaje? Wame suggest nini.Kwanza salaam.
Nilinunua laptop tar 31.1.2014. Arusha mjini na nikapew warranty ya mwaka mmoja. Baada ya kuitumia kwa miez 2 imekufa spika nikaipeleka tar 10 mwez huu, wakaniambia baada ya week 2 nikaichukue lakin leo wamenipigia sim inaonesha wamshindwa kurekebisha. Je nini nifanye?
Risiti ya mwenye duka,.
Nimeona kama kuna ujanja ujanja unataka kufanyika, walinipigia muda ambao ilikuwa si rahisi kwenda maana nipo Moshi ila nmewaambia nitaenda kesho asubuhi. Kinachouma kingine ni nauli za moshi-Arusha