Sina hakika lakini kwa kuwa amechukua form ndan ya chama kuomba kuteuliwa,Nawiwa kuombwa msaada wa kutafsiriwa kifungu hiki Cha 84 (2) Cha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu namna ya kumpata spika wa bunge...
Unaweza kutujuza vya kunyonga hivyo alivyo zoea 🤸.Tulia alishazoea vya kunyonga, vya kuchinja hawezi.
Mkuu Mnasihi, japo Naibu Spika , Dr. Tulia Akson ni mwanasheria, ila uwezo wake kutafsiri katiba ni limited.Nawiwa kuombwa msaada wa kutafsiriwa kifungu hiki Cha 84 (2) Cha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu namna ya kumpata spika wa bunge...
Ndivyo Katiba inavyosema au hii umeitoa kichwani?Kikatiba Tulia yupo sahihi, haupaswi kujiuzulu kazi unayofanya ili uchukue form ya kugombea uspika Ila utakapoteuliwa na chama na ukifanikiwa kupita kwenye kura basi ndipo utajiuzulu kazi unayofanya ili uanze kazi mpya ya uspika Ila ukikosa unarudi kwenye kazi yako...
100%Mkuu Mnasihi, japo Naibu Spika , Dr. Tulia Akson ni mwanasheria, ila uwezo wake kutafsiri katiba ni limited...
Soma nilichoandika kijana ndio maana nimesema japo Katiba ipo silent Ila busara ya kiutendaji inahitajika.Ndivyo Katiba inavyosema au hii umeitoa kichwani?