Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Client hawezi kukuambia eti nipe mifano ya cases za circumstantial ev.But si mbaya kumshauri koz naona each post inakomalia aliyetuma post Akasome...! Lawyers usually give opinion Na Trust me Sheria ipo applicable wherever you go..sidhani kama ni offence kumpa jibu,,kwanza Nina doubt wanaotoa ushauri ni Half-baked lawyers...if you're a learnt fella hutoacha kumshauri MTU either layman or what's soo ever,,hembu waza jamii inakuchukuliaje kwa majibu yako au hata mtaani au kwenu ama client akikuomba ushauri huwa una respond the same..!! Huo ndio u advocate mchwara sasa be Positive Na jifunze kuwa kioo kwa jamii
Huyo jamaa ni lawyer mvivu wa kusoma tu. Mana nimempa list ya vitabu km no lawyer kweli angenielewa.