Wanasheria naomba mnieleweshe suala hili

Wanasheria naomba mnieleweshe suala hili

Uchumi wa Mifugo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2021
Posts
345
Reaction score
580
Kwa mfano nimeshtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi,na jamhuri inajua kesi yangu si ya kuhujumu uchumi Ila wizi wa kawaida,Ila imeamua tu kunikomesha kwa sababu naisumbua tu serikali yao.

Hakimu kila akiangalia anaona hakuna mashtaka ya uhujumu uchumi, je mahakama ina mamlaka ya kubadilisha mashtaka kutoka uhujumu uchumi na kuwa kesi ya wizi wa kawaida?
 
Hakimu kila akiangalia anaona hakuna mashtaka ya uhujumu uchumi,je mahakama ina mamlaka ya kubadilisha mashtaka kutoka uhujumu uchumi na kuwa kesi ya wizi wa kawaida?

Kama jaji amepokea maelekezo kutoka kule yalipoasisiwa awamu iliyopita, unatarajia nini....
 
Back
Top Bottom