Wanasheria naombeni msaada wenu wa hali na mali.

Wanasheria naombeni msaada wenu wa hali na mali.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Mimi ni mfanyabiasha wa nyumba za kupanga mkoani arusha. Hoja yangu ni kuwa mpangaji mmoja anataka nimpe mkataba ambao haujawekwa saini ya mwenye nyumba na mpangaji. Mpangaji huyu anadai huo mkataba atapeleka kwa bosi wake ili apewe kodi ya kulipia pango kabla kodi yake haijaisha. Nilipomuambia kwanini asipeleke mkataba ambao tumeshasaini akasema inahitajika mkataba ambao haujajazwa chochote je kisheri hii ikoje? Je nikimpa mkataba ambao haujasainiwa si anaweza kunichezea mchezo mchafu? Nawasilisha.
 
Hapo mtihani mkuu ila inategemea na moyo wa huyo mpangaji kama kiroho safi ni kweli maboss wengine wanataka waone kwanza mkataba ili waukubali au waukatae sasa mkisign simtakuwa mmeshajiamulia bila idhini ya boss.Ni hayo tu ila mengine ni wewe ndo unaweza ukamsoma huyo jamaa anasomekaje
 
Hapo mtihani mkuu ila inategemea na moyo wa huyo mpangaji kama kiroho safi ni kweli maboss wengine wanataka waone kwanza mkataba ili waukubali au waukatae sasa mkisign simtakuwa mmeshajiamulia bila idhini ya boss.Ni hayo tu ila mengine ni wewe ndo unaweza ukamsoma huyo jamaa anasomekaje[Ni kweli umesema lakini mbona alipokuja kwangu kupanga hakuniambia hivyo?
 
Yeah tafuta mwanasheria karibu hapo akuandalie mkataba then kabra hamjasini mpe BOSS wake akauone halafu wakikubaliana na terms zako ndio usainishane nae haina shida tena ni utaratibu mzuri.
 
Back
Top Bottom