mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Katika nchii hii,mahakimu wa mahakama zote,waendesha mashtaka,mawakiri na wanasheria wa serkari ni watu wanaongamiza rasmali za nchi,
Ukienda kweny ofisi za hawa watu ni deal kw kwenda mbele,angalia ufisadi wa nch hii mwingi umeasisiwa na hawa watu, ukienda mahakamani ni rushwa mtindo mmja.haki za wanyonge znapindshwa sana maadam uwe na hela hata kama una offence end of the day unashnda,
Law is no longer a displine professional!!! ,kama ilivo Md ambako watu huwatibu wagonjwa ktk mazingra magum kw uvumilivu mkubwa japo masirahi madogo....
Lawyers sio wattez wa wanyonge wao sku hz thy r dealer!!! Wadau ebu tuchangie hii fan I inaendana na malengo ya uasisi wake ktk vyuoo vyetu nchini ??