technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Twende ZimbabweHii nchi sijui tumepatwa na nini aisee yaani wote ni waoga hakuna wa kumuuliza kitu mtukufu raisi, hiki kizazi kingekuwepo wakati wa kudai uhuru nafikiri hadi leo tungekua tunatawaliwa na wakoloni, haya mambo yanatakiwa viongozi wenyewe wa ccm na serikali yake ndo wayasolve tatizo wote ni makunguru ,wapinzani wakiongea hawawezi kusikilizwa ndo maana wakina Lissu wanapiga kelele lkn hamna anaewajali,
I wish I could be IGP and I wish also I could be CJ........Rais ndio Judge mkuu,
no comment
Nikiangalia kwa umakini, wenda judge lazima apendekezwe na TLS! lakini nadhani unajua rais wa tls sasa ivi ni nani!!Hivi ni muda gani nchi inaweza kukaa bila jaji mkuu? Ni kwa kipindi gani au ni kwa muda gani wakuu...
Nchi inakaa na Kaimu jaji karibia miaka 2 sasa hivi hii imetafasiliwaje kwenye maswala ya kimahakama ?..
Wanasheria hii imekaaje je nini kinasababishwa huyu jaji asipewe mamlaka kamili ya kuwa jaji mkuu?
Tatizo ni nini hapa je kuna tofauti gani kwa nchi kukaa bila jaji na pale inapikuwa na kaimu jaji?..
Hii ni kwa wanasheria nataka kujua je hatuvunji katiba kama nchi kukaa miaka karibia 2 bila jaji mkuu wa nchi?....