Wanasheria nisaidie hapa juu ya jaji mkuu

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Hivi ni muda gani nchi inaweza kukaa bila jaji mkuu? Ni kwa kipindi gani au ni kwa muda gani wakuu...

Nchi inakaa na Kaimu jaji karibia miaka 2 sasa hivi hii imetafasiliwaje kwenye maswala ya kimahakama ?..

Wanasheria hii imekaaje je nini kinasababishwa huyu jaji asipewe mamlaka kamili ya kuwa jaji mkuu?

Tatizo ni nini hapa je kuna tofauti gani kwa nchi kukaa bila jaji na pale inapikuwa na kaimu jaji?..

Hii ni kwa wanasheria nataka kujua je hatuvunji katiba kama nchi kukaa miaka karibia 2 bila jaji mkuu wa nchi?....
 
Hii nchi sijui tumepatwa na nini aisee yaani wote ni waoga hakuna wa kumuuliza kitu mtukufu raisi, hiki kizazi kingekuwepo wakati wa kudai uhuru nafikiri hadi leo tungekua tunatawaliwa na wakoloni, haya mambo yanatakiwa viongozi wenyewe wa ccm na serikali yake ndo wayasolve tatizo wote ni makunguru ,wapinzani wakiongea hawawezi kusikilizwa ndo maana wakina Lissu wanapiga kelele lkn hamna anaewajali,
 
Rais ndio jaji mkuu, haukusikia juzi akitoa amri ya hakimu kuamishwa kituo cha kazi?
 
Hii nchi sijui tumepatwa na nini aisee yaani wote ni waoga hakuna wa kumuuliza kitu mtukufu raisi, hiki kizazi kingekuwepo wakati wa kudai uhuru nafikiri hadi leo tungekua tunatawaliwa na wakoloni, haya mambo yanatakiwa viongozi wenyewe wa ccm na serikali yake ndo wayasolve tatizo wote ni makunguru ,wapinzani wakiongea hawawezi kusikilizwa ndo maana wakina Lissu wanapiga kelele lkn hamna anaewajali,
Twende Zimbabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weee Technicallly, kwanza ngoja niku waoooooooooo
ulipotelea wapi jamani?
Yaani nilikumiss tokea Enzi za mtu mmoja maarufu RC alisemekana kuwa cheti chake kina matatizo, nikawa nataka nione wewe jembe langu unasemaje sikukuoona tena!!
Karibu sana.
Nitachangia baadae uzi wako huu. nimefurahi sana kukuona tena hapa jukwaani
 
Hivi ni muda gani nchi inaweza kukaa bila jaji mkuu? Ni kwa kipindi gani au ni kwa muda gani wakuu...

Nchi inakaa na Kaimu jaji karibia miaka 2 sasa hivi hii imetafasiliwaje kwenye maswala ya kimahakama ?..

Wanasheria hii imekaaje je nini kinasababishwa huyu jaji asipewe mamlaka kamili ya kuwa jaji mkuu?

Tatizo ni nini hapa je kuna tofauti gani kwa nchi kukaa bila jaji na pale inapikuwa na kaimu jaji?..

Hii ni kwa wanasheria nataka kujua je hatuvunji katiba kama nchi kukaa miaka karibia 2 bila jaji mkuu wa nchi?....
Nikiangalia kwa umakini, wenda judge lazima apendekezwe na TLS! lakini nadhani unajua rais wa tls sasa ivi ni nani!!
 
Back
Top Bottom