Wanasheria nisaidieni, nimedhamilia kufungua mashitaka dhidi ya chama cha CCM

Wanasheria nisaidieni, nimedhamilia kufungua mashitaka dhidi ya chama cha CCM

kesi kama hii imewahi kutokea.... soma kesi ya SHUBI BALONZI v TRUSTEE OF CHAMA CHA MAPINDUZI(1996)
 
Unatakiwa uandike barua makao Makuu Koz hiyo ni kesi dhidi ya chombo cha seikali..?itakaa 90 days wasipojibu Ndo unaweza ukawafungulia kesi ya madai.
 
Jf ni kwa magreat thinker wenye tafakuzi mujarabu naamini hapa wanasheria wamejaa na wanao weza nisaidia kwa hili:

1.Nimedhamilia kukifungulia kesi hiki chama cha CCM kwa kutusababishia umasikini na maisha magumu kwa kipndi chote hiki tangu kuungana kwa tanu na a.s.p mwaka 1977.

'Hapa kesi ya msingi itawalenga m/kiti wa cha taifa,katibu mkuu taifa,makamu m/kiti taifa na secretarieti yote ya chama wakiwakilisha wenzao wote waliowahi kushika nyadhifa hizo tangu CCM iundwe.

2.Shitaka la pili litawahusu mawazsiri wote na mfumo mzima uliopo chini ya CCM akiwemo huyu mkuu wa kaya.hawa watashitakiwa kwa kutosimamia serikali vizuri kwa manufaa ya umma kwani inaonyesha scandel za kifisadi zimefanywa na wizara tofauti tofauti mfano wa scandel hizo za kifisadi ni "epa,dowans,green dip,utoroshaji twiga nje,iptl na escrow acc'bill 200,rada.

3.Nitawafungulia mashtaka wana CCM hai wanne tu watakao wakilisha wenzao wote nchi nzima maana hawa ndio wame uweka huu utwawala wa CCM.

Karibuni wanajamvi.

Suing your federal government for civil rights violations
 
Back
Top Bottom