Wanasheria nisaidieni

Wanasheria nisaidieni

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kuna mtu ali mortgage shamba lake some 50 yrs back from today. ameshakufa sasa watoto wake wanaingia kwenye shamba na kuchua mazao wakidai ni shamba la baba yao. Nifanyeje?
1. Je kuna limitation on mortgage land?
2. Je as a plaintiff can I use limitation (if it is there) as a sword (as opposed to adverse possession, maana huwezi kutumia adverse possession as a sword being a plaintiff )
3. Je naweza kushitaki kwa wizi/criminal tresspass

asante
 
2. Je as a plaintiff can I use limitation (if it is there) as a sword (as opposed to adverse possession, maana huwezi kutumia adverse possession as a sword being a plentiful )
3. Je naweza kushitaki kwa wizi/criminal tresspass

asante
plentiful????!!!!
 
Si wakulipe hela uwarudishie shamba lao.
 
typo err, wewe nipe majibu ya shida zangu, hayo ya spellings are minor as long as umeelewa
Mkataba wa mortgage kati yako na marehemu baba yao unoa? Je, wao pia wanazo taarifa za mkataba huo, na walikuwa wanazo kabla hajafariki?
 
mkataba upo, na taarifa wanazo lakini wengine walikuwa bado hawajazaliwa wakati unaandikwa na baba yao hivyo wanasema hatuutambui....... na shamba hilo limetumiwa openly for over 50 yrs ..kila mmoja anajua hilo in the whle village
 
Navyofahamu Mortgage ina time limitation,naomba nikutumie kesi ambayo ulishare katika thread yako,kwa kuwa kuna mkataba wa mortgage huwezi kuclaim adverse posession unachotakiwa kufanya ni kufuata taratibu zingine za kurejesha deni husika ikiwepo kuuza mali hiyo,kumbuka "ONCE A MORTGAGE ALWAYS A MORTGAGE "
 
Attachments

Kuna mtu ali mortgage shamba lake some 50 yrs back from today. ameshakufa sasa watoto wake wanaingia kwenye shamba na kuchua mazao wakidai ni shamba la baba yao. Nifanyeje?
1. Je kuna limitation on mortgage land?
2. Je as a plaintiff can I use limitation (if it is there) as a sword (as opposed to adverse possession, maana huwezi kutumia adverse possession as a sword being a plaintiff )
3. Je naweza kushitaki kwa wizi/criminal tresspass

asante
1: time limitation for redeeming of a mortgage transaction is 12 years,check First Schedule of the Law of Limitation Act
2:as a plaintiff you can not plead on adverse possession while from beginning you was aware about the ownership of that piece of land,and you advance further to enter into a mortgage transaction with the mortgagor
4:Huwezi kuishtaki kwa wizi wala criminal trespass unless uweze kuthibitisha kwamba ile mortgage property siyo tena mali ya marehemu kwani ulishafuata taratibu za kuhakikisha unarudisha kiasi cha pesa ambacho kilikuwa katika mkopo kwa kufuata tartibu za kisheria.
NB:Lakini unaweza kufanya hayo kulingana na masharti na tartibu za mkataba wenu wa mkopo.
 
eehe kwa hiyo mortage ndo urithi wa kuforce au??
 
asante nimekupata vema
 
Iyo mortgage ili sajiliwa ? Au mli andikishana kihuni?

Baada ya kushindwa kulipa na mda ukawa ume pita as a mortgagee ulichukua hatua gani ku discharge your right over the mortgage property au uli tulia tu kimya?
 
Navyofahamu Mortgage ina time limitation,naomba nikutumie kesi ambayo ulishare katika thread yako,kwa kuwa kuna mkataba wa mortgage huwezi kuclaim adverse posession unachotakiwa kufanya ni kufuata taratibu zingine za kurejesha deni husika ikiwepo kuuza mali hiyo,kumbuka "ONCE A MORTGAGE ALWAYS A MORTGAGE "
Limitation ipo but ai zuii margagor kui redeem ata mda ukiwa ume pita na ukiwa na sababu ya msingi especially kama Morgage bado ipo kwenye possession ya morgagee
 
Uko sahihi ndio maana kuna exception katika kuenforce First schedule ya Law of Limitation Act,na ndio sababu nimemwandikia kuwa hawezi kubaki na mali ambayo ni ya mortgagor kama hakufuata taratibu za kuexecute mortgage agreement yao maana ONCE A MORTGAGE ALWAYS A MORTGAGE(mali au kitu chochote ambacho kimewekwa dhamana itabaki kuwa dhamana na kwa namna yoyote mtoaji wa mkopo hawezi kujimilikisha kwani deni likikamilika inabidi mali irudi kwa mhusika,vinginevyo awe amefuata taratibu za kisheria katika kupata haki(fedha)aliyotoa kwa ,mdeni wake kama mkopo).
 
Iyo mortgage ili sajiliwa ? Au mli andikishana kihuni?

Baada ya kushindwa kulipa na mda ukawa ume pita as a mortgagee ulichukua hatua gani ku discharge your right over the mortgage property au uli tulia tu kimya?
naomba kujua hivi ni mortgage zote zinakuwa registred?alafu ukiangalia scenario iliyotolewa ni ya transaction ya miaka zaidi ya 20 nyuma.
 
Kuna mtu ali mortgage shamba lake some 50 yrs back from today. ameshakufa sasa watoto wake wanaingia kwenye shamba na kuchua mazao wakidai ni shamba la baba yao. Nifanyeje?
1. Je kuna limitation on mortgage land?
2. Je as a plaintiff can I use limitation (if it is there) as a sword (as opposed to adverse possession, maana huwezi kutumia adverse possession as a sword being a plaintiff )
3. Je naweza kushitaki kwa wizi/criminal tresspass

asante
Huu ni ulimbukeni wa lugha,mtu msoni na aliyeelimika na kustarabika hana huu upuuzi,chagua lugha moja kuwasilisha hoja yako,sio huu upuuzi
 
Back
Top Bottom