Wanasheria nn sababu ya bunge kuvunjwa tarehe 3 August na siyo leo?

Wanasheria nn sababu ya bunge kuvunjwa tarehe 3 August na siyo leo?

Mbna mie naona limevunjwa, ila mawaziri wataendelea kula posho na marupu rupu had tar 3/8
Hakuna bunge lililovunjwa, na wabunge wataendelea kuwa wabunge na uchaguzi lazima uhairishwe baada ya October
 
Elewa shughuli za bunge la 12 zimesitishwa, ila bunge litavunjwa agosti 3. Kuwa hakutakuwa na shughuli nyingine za bunge. Kuvunjwa bunge tarehe 3 agosti ni kutoa fursa ya kuendelea kuwepo kwa mawaziri kwani bunge lingevunjwa maana yake kuwa baraza la mawaziri nalo lingekoma.
Kwani uzoefu unaoneshaje? Vipindi vilivyopita walikuwa wanafanyaje?
 
Elewa shughuli za bunge la 12 zimesitishwa, ila bunge litavunjwa agosti 3. Kuwa hakutakuwa na shughuli nyingine za bunge. Kuvunjwa bunge tarehe 3 agosti ni kutoa fursa ya kuendelea kuwepo kwa mawaziri kwani bunge lingevunjwa maana yake kuwa baraza la mawaziri nalo lingekoma.
Unamaanisha kuwa shughuli za kampeni zitaendelea ikiwa Bunge bado halijavunjwa? Na ikivunjwa hiyo 3 Agosti ndiyo baraza la mawaziri litakuwa limeshaundwa tayari?
 
Bajeti ya mwaka 2023/24 inaishia mwezi huu mwishoni. July nchi inaendeshwa kwa bujeti mpya ya mwaka wa fedha 2024/25 ... Swali ni bajeti ya mwaka uliopita imetekelezwa kwa kiwango gani na malengo yametimia? kwa kiasi gani?

Maswali hayo machache najiuliza nikuhusisha na Bunge kuvunjwa isivyo kawaida mwezi August... Tayari kuna taarifa za uhakika, lakini za chini chini za wafanyakazi wa Wizara moja muhimu sana kwa ustawi wa binadamu, kwenda Zanzibar kupumzika na zaidi sana kutumia mafungu ya pesa ambayo hayakutumika ipasavyo mwaka huu unaoishia June 30.

Badala ya pesa kurudishwa hazina kwa kuwa hazijatumika, watu wachache Serikalini wameamua kuzitumia kwenye warsha, semina na safari za kizushi tu ili hiyo pesa ionekane imetumika. Linazuka swali jingine, kwa nini pesa za bajeti hazikutumika kwenye miradi iliyokusudiwa ?? Hii ni kiashiria cha matumizi mabaya ya pesa za walipakodi....Huu ni wizi wa kitaasisi!!.😡😡
 
Elewa shughuli za bunge la 12 zimesitishwa, ila bunge litavunjwa agosti 3. Kuwa hakutakuwa na shughuli nyingine za bunge. Kuvunjwa bunge tarehe 3 agosti ni kutoa fursa ya kuendelea kuwepo kwa mawaziri kwani bunge lingevunjwa maana yake kuwa baraza la mawaziri nalo lingekoma.
Hivi Unajua Sheria aU Katiba Baraza La mawaziri Halikomi kwa Kuvunjwa Kwa Bunge ..
Kuna Mtu amekusimulia au Katiba Unaijua?
 
Back
Top Bottom