ndio naamka muda huuHakuna Kitu hapo nenda Kalale..!
Uko sahihi mkuuKesi iko wazi mno na haina complications za kisheria. Mtuhumiwa no 1 kaanza kujitetea kwa kutaja high profile figures kea majina na vyeo vyao, kimsingi ni kama kawataja kama washirika wake!
Kama mahakama isipopuuza huu utetezi watajwa wataitwa mbele ya mahakama kuthibitisha ama kukanusha kwamba alitumwa na kayafa nao walikuwa na taarifa kamili, tena wafanye hivyo kwa ushahidi kamili hasa kama watakanusha
Ana kesi nyingi kwa hiyo wanataka waimalize hii waanze na zingine hapo bado kesi za huko Hai bado zinamsubiri...Kwanini kesi ya sabaya inasomwa kila siku? Au kwasabu ni ya UJAMBAZI wa KUTUMIA SILAHA?
Ana kesi nyingi kwa hiyo wanataka waimalize hii waanze na zingine hapo bado kesi za huko Hai bado zinamsubiri...
Inabidi aithibitishie mahakama kuwa alilazimishwa na mamlaka kufanya vitendo vya uhalifu katika hiyo operesheni., Na kwamba kwa wakati huo hakuwa na akili timamu ya kutambua Jema na baya!!Kesi ya msingi inayomkabili ni unyang'anyi wa kutumia silaha.
Sasa utetezi kua alitumwa na mamlaka hautoshi kisheria kuhalalisha kosa alilotenda, endapo upande wa mashtaka ukiweza kuthibitisha uhalifu wa mtuhumiwa.
Haya ndio maelezo ya kisheria?Hakuna Kitu hapo nenda Kalale..!
bush lawyers wamejaa wewe tu akili yako ndogo huwezi kulielewa hiliKwa akili yako jinsi inavyokutuma, kuna ‘mwanasheria’ asiye ‘msomi’? , nauliza tu...