Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaaaaaaaaaaaaKumuweka ndani binti mzuri kama huyo ni matumizi mabaya ya sheria, tena kesi yenyewe ya kuua bila kukusudia, wacha wanaume waendelee kufurahia uumbaji wa mungu
Umenichekesha sana mkuuMkuu usitake nitekwe nina familia inanitegemea.
Wanasheria ebu tueleweshe,ilikuwaje wakaigeuza kesi kuwa ya kuua bila kukusudia wakati ushaidi ulikuwa haujaanza kutolewa? I mean charge aliyoshitakiwa nayo ni murder ,ni upi utaratibu wa kubadilisha charge ya murder kuwa manslaughter?Ile kesi ilibadilika na kuwa kuua bila kukusudia ndio maana yupo nje.
Ata wewe acha kuropoka usichokijua,kesi inabadilishwa kuwa ya kuua bila kukusudia baada ya kuwa ushahidi umetolewa na ndipo jaji katika kuitimisha verdict anamtia mtu hatiani kwa kosa la kuua bila kukusudia badala ya mauaji aliyoshitakiwa nayo na kutoa adhabu hapohapo.Kwa issue ya Lulu utaratibu ulikiukwa kwani charge ilibadilishwa kabla ya ushaidi.Huyo aliyesema aliua bila kukusudia kabla ya ushahidi haujatolewa mahakamani na mshitakiwa kujitetea yeye alikuwepo kwenye tukio?Acha kuropoka usichokijua,lulu yupo nje kwa dhamana kwakuwa kesi yake ni kuua bila kukusudia(manslaughter) na sio kesi ya kuua kwa kukusudia(murder case)
Aisee . .... Kanumba alikuwa anakula kitu kinabana vizuri sana.Kumuweka ndani binti mzuri kama huyo ni matumizi mabaya ya sheria, tena kesi yenyewe ya kuua bila kukusudia, wacha wanaume waendelee kufurahia uumbaji wa mungu